Swali kwa mlioangalia taarifa ya habari ya ITV na Star tv usiku huu

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,671
149,853
Wadau, clip iliyoko hapa mtandaoni kuhusu kauli za viongozi wa UKAWA wanaoonekana kujibu hutoba ya Raisi Magufuli alioita jana,inaonyesha vinasa sauti vya vituo vingi vya television vikiwemo vya Star tv na ITV.

Je,mlioangalia taarifa za habari za ITV na Star tv saa 2 usiku huu, habari hii ya viongozi wa UKAWA kutoa maoni yao, wenzangu mmeiona?
 
Nimeangalia ITV, nafikiri wanaenda na kucheza ngoma inayopigwa kutoka kwenye magogo
 
ITV nimemuona huyo msajili akitetea bosi wake kuwa hajazuia mikutano ya siasa. Je wewe umeona nini zaidi? Je, ni kweli mikutano haijazuiliwa au imeruhuziwa? Muongo hapo ni Mh rais au msajili?
Siasa sizielewielewi jamani. Haswa kila mtendaji anapopingana na boss wake huwa najiuliza, anatuona kuwa sote hatujui kitu au?
 
Haijaoneshwa,wamemuonesha mtungi akifafanua Swala LA katazo LA mikutano ya siasa
 
Si kila kilichotokea kwa siku kinaripotiwa, mambo ya hovyo hovyo pelekeni kwa mbombomboweeeee
 
Back
Top Bottom