Nimekuelewa baba Askofu -kama wewe/ofisi/uliyemwelekeza ndiye uliyejibu. Basi na AMANI itawale. Kazi ya Mungu haiitaji Mahakama. Nawashauri waumini waondoe pingamizi hilo, kazi ya Mungu itendeke. Kanisani hakuna biashara yoyote kama baba wa Taifa Nyerere alivyosema kuwa Ikulu kuna biashara gani. Ondoeni pingamizi ndugu zangu wauminihao wawili, tumtukuze Bwana.
Polisi Nawaomba HEKIMA itawale katika kutekeleza wajibu huu. Hatutegemei ya Mbowe. TUMSIFU YESU KRISTO.