Swali kwa kina dada. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali kwa kina dada.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nazjaz, Apr 30, 2011.

 1. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 4,815
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Utafanyeje ukigundua kuwa mumeo ana watoto wawili nje aliozaa na changudoa na mwingine kazaa na baa medi?
   
 2. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,753
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Nitafungasha kilicho changu na kurudi kwetu
   
 3. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,101
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ningekuwa dada ningechangia. Ila mi nikigundua wife kazaa na konda na muuza urembo, namwambia kilicho zaliwa ndani ya ndoa ni changu. Nataifisha watoto
   
 4. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,619
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  huyo mume ni noma hafai, anaweza hata kuzaa na kuku
   
 5. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,288
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  naenda kupima ukimwi,kutegemeana na uwezo na majibu ya ukimwi nitaamua nibaki nae au niondoke zangu :A S 39:
   
 6. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 9,975
  Likes Received: 1,351
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli mume atembee tu nje, akizaa regardless kazaa na nani, ni bonge la noma. Sijuhi nita react vipi kwa kweli kwani najaribu kupiga picha inagoma kabisa kuja aisee.
   
 7. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #7
  Apr 30, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 9,975
  Likes Received: 1,351
  Trophy Points: 280
  Unapima ukimwi kwa sababu kazaa? Mbona hata wasiozaa wanatembea tu huko nje peku peku. Kama ni kupima basi upimege monthly

   
 8. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #8
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hatua ya nikujua hao watoto aliwazaa akiwa ameisha funga ndoa na mimi au vip? Then ndo nitatoa maamuzi na hapo wakuwajibisha ni mme
   
 9. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #9
  Apr 30, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,619
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Nimeipenda sana hiyo UPIMEGE imenikumbusha Mwakaleli
   
 10. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #10
  Apr 30, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,288
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  we nae.....kila mtu ana akili yake....mi kwangu kuzaa na baamedi na changudoa haiwezi kulinganishwa na kuzaa na Dr na mhasibu....the risk is not the same....kupima hata daily si tatizo kwangu....:lying:
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Apr 30, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,217
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Bora kina sie tusio na matarajio ya kua na hao waume!!!
   
 12. Graca

  Graca JF-Expert Member

  #12
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  upo sahihi. Hii kitu imemtokea sista wangu this week. Amegundua mumewe wa ndoa ana watoto wawili nje. Imagine, sista ameumia sana mpaka anatia huruma.
  Wanaume plz lindeni ndoa zenu.
   
 13. mfukunyunzi

  mfukunyunzi Senior Member

  #13
  Apr 30, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  unataka uwafanyeje tena dada zetu wakati unawajua kabisa ni wavumilivu au unataka kuwafundisha tabia mbaya?!
   
 14. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #14
  Apr 30, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,150
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Likinifika nitakujibu.
   
 15. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #15
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 8,713
  Likes Received: 1,593
  Trophy Points: 280
  Kisaikokolojia wanaume wanavumilia uongo kuliko wanawake...
   
 16. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #16
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160

  Mambo mengi yatachangia katika maamuzi yangu. Mwanaume wa kutembea mpaka anazaa na changudoa na bar maid ina maana huyo ni cassanova na mlevi wa kupindukia - mwanaume wa namna hiyo mke hua anajua tabia ya mumewe. Ndo maana utasikia baadhi ya wanawake wanasema kabisa hadharani kua mm namjua mume wangu ni malaya!


  Kama hio tabia ya umalaya tayari ni dhahiri na bado unakaa nae - cha ajabu nini kusikia kazaa na hao wanawake (tena ukute hata kapakaziwa) hakuna haja ya kumuuliza watoto kama bado una nia ya kuishi nae maana utampa sababu ya kuwaleta hapo uwalee. kwa upande wangu tatizo ambalo halina ufumbuzi sioni sababu ya kulifungua iwapo nimeamua kumuacha naondoka zangu, za nini headaches....
   
 17. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #17
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160


  Jamani Lizzy kama its the right man, kuna unique raha - just tread carefully kutafuta shem, tufanye hiyo sherehe. Welcome to the club...
   
 18. n

  neyro JF-Expert Member

  #18
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 232
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  hilo neno!
   
 19. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #19
  Apr 30, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 4,815
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  by other words wanawake ni waongo sana.
   
 20. n

  neyro JF-Expert Member

  #20
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 232
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  umefanya utafiti wapi? Au kwa wa kwako tu? Note: NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK!
   
Loading...