Swali kwa Keren Hapuch | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali kwa Keren Hapuch

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by SHIEKA, Apr 7, 2012.

 1. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #1
  Apr 7, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,128
  Likes Received: 942
  Trophy Points: 280
  Halo Keren! Hujambo dear? Nakusikia sana hapa JF lakini umebadilika mno. Ngoja nikueleze.

  Nilipojiunga JF December 2011 nilikukuta humu ukawa unapost vizuri sana ila ilipofika Januari au Februari 2012 ukawa huonekani. Nakumbuka mara ya mwisho ni pale nilipokuchanganya na mwanaJF mwingine aitwae Miss Judith na katka kukuchanganya huko,kwa kuwa nilikuwa nasifia na kupongeza, ulinitumia'Like'.Baada ya hapo sijaona tena thread yako jambo ambalo kwangu ni huzuni kubwa maana nilikuwa nimeizimia sana avatar yako.

  Ila kuonekana kwako ni pale ninapopitia thread mbalimbali na kukuta umegonga 'like' tu basi.Sasa dadaangu nakuuliza:Ni nini kimekufika? Najua huna ban wala nini, kwa nini umekaa pembeni hivyo? Au ni mbinu za kukwepa ban? Lete mathread bwana, pia changia kama mwanzo ila nakushauri usichangie sana kwenye Jukwaa la Siasa maana huko ni bohari la bans,Sina la zaidi ila nina hamu ya kukuona tena hapa jukwaani ukieleza angalau jinsi pasaka yako ilivyokwenda. Baada ya hapo nakutakia pasaka njema ya furaha na neema tele.
  Wako,
  hygeia
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Apr 7, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Keren Hapuch and Miss Judith we miss you all!
  Pasaka njema
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Apr 7, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  kunani hapa!
   
 4. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #4
  Apr 7, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,128
  Likes Received: 942
  Trophy Points: 280
  Nataka nimwone Keren Hapuch akichangia na kuleta thread hapa jamvini.Kongosho wapenda sana uchokozi wa kisirisiri. Hata hivyo Kongosho Keren akijitokeza ntahitaji nikutume kwake maana hii kazi waiweza sana.
   
 5. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #5
  Apr 7, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  hayakuhusu!
   
 6. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #6
  Apr 7, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  we nae acha kuzuga,una lako moyoni,spit it out!
   
 7. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #7
  Apr 7, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,128
  Likes Received: 942
  Trophy Points: 280
  Halo bepari la kihaya! Nina langu moyoni- hapo umepata. Kwa sasa I cant spit it out coz nimekaukiwa mate ile mbaya. Akitokeza Keren mate yatarudi then will spit it out. Wishing you a happy Easter though!
  hygeia
   
 8. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #8
  Apr 7, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Kila siku wanamisiwa wenzangu tu, na nikizungumziwa mimi basi napondwa.
  Sijui na mimi najianzishie thread kwa ile ID yangu ya kike?
   
 9. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,128
  Likes Received: 942
  Trophy Points: 280
  Keren! Keren! Hunisikii?

  Simsikii jamani. Kenda wapi?

  Halo Lizzy na Afro denz! Habari za Pasaka? Ninawaomba sana mnitafutie Keren. Simwoni, simpati sijui alienda Arumeru Mashariki akanogewa na matokeo akabaki hukohuko wala sijui. Keren jamani! Jitokeze basi mtu wangu.
   
Loading...