Swali Kwa KCB (Kenya Commercial Bank)

kachumbari

Senior Member
Nov 1, 2010
125
8
Hivi ni kweli benki hii inawakopesha fedha za kufanyia kazi bila dhamana kwa suppliers wenye L.P.O Kutoka Serikalini au Makampuni ya uhakika Waislamu kuliko Wakristu eti kwasababu waislamu ni waaminifu zaidi kuliko Wakristu? Naomba kuwasilisha hoja....!
 
Hii ni benki ya wakenya, MD wake wa sasa ni mkenya na belongs to christianity.
 
Hivi lazima uanzishe mada kila siku?siku nyingine kausha tu coz unaboa tena sana. Peleka ujinga na upuuzi wako kwenu!
 
WAISLAM WENGI WANA AKAUNTI KCB KWA KUWA NDIYO BENKI YA MWANZO KUANZISHA SHARIAH BANKING HIVYO UKIWA NA LPO WAO WAKANUNUA WAKAKUUZIA MTEJA NI SAWA HAKUNA RIBA!UMENIPATA KWA SASA NBC,STANBIC NAO WANAFUATA MFUMO HUO!UKUMBUKE TZ RIBA ya mikopo ni 26 %,usa ni 1.5% NA JAPAN ni 0.5%.
 
Kweli Tz 2nanyooshwa,ningekuwa na uwezo ningeenda Japan kukopa lol
 
Back
Top Bottom