Tutawezaje kuing'oa CCM madarakani bila kumwaga damu?
Kuna jamaa mwanafalsafa mmoja alisema kuwa
jamii hata kama itakuwa na ujinga wa namna gani, itakapo nyonywa vya kutosha na viongozi, basi jamii yenyewe itasimama bila kuamrishwa na yeyote nayo itafanya mapinduzi
Rodney W naye alisema,
uongozi wowote wa kiserikali una mbegu zitakazoufanya uanguke
hii tumeiona wakati wa uchaguzi ulopita kwani ukilinganisha kura za urais na idadi ya wabunge waccm na ile ya '05 nadhani waweza kuona ni jinsi gani hawa jamaa wanaelekea kuanguka. Tusijilaumu sana kwa hawa jamaa kwani wamekaa madarakani muda mrefu so wamekwisha jijingea mizizi ambayo inawafanya wadhani kuwa watatawala milele.
lakini miaka mitano ni mingi na michache vilevile
namkumbuka Adeyamo mwandishi alisema
When the pressure is high upon the subodinates, whatever is inside comes to the surface
Siku si nyingi tutawaona wadanganyika wakiitoa hii.Yeyote apaswa kujiuliza kwamba kama serikali ya mseto imefanyika Zanzibar yenye majimbo yasiyozidi hamsini na tano, kwanini isifanyike bara kwenye majimbo zaidi ya miambili, au wanasubiri tuchinjane kama zenji ndo wajisifu kwa muafaka?
Kuna mwingine (Maxwell C) katika kitabu chake cha mwaka juzi alisema hivi kuhusu uongozi
How do leaders earn respect? By making sound decisions, by admitting their mistakes, and by putting what is best for their followers and the organization ahead of their personal agenda
hili huwezi lipata kwa vipngozi a ccm, for them, they keep on calling a spade a big spoon instead of calling it by its name. Utamuona na kumsikia kiongozi wa chama na nchi akihutubia kuwa kwa kipindi cha uongozi wake maendeleo yamekuwepo na kuongezeka na sababu ya kujustify statement yake atakwambia kuwa
foleni za magari dar zimeongezeka
na atapigiwa makofi na kushangilia, hivi tuna akili kweli sisi?
Sacrifice is an on going process, not a one time payment
Wala tusife moyo. Hawa vingozi wa ccm walowengi wanakwenda kinyume cha hii principle
Leaders tell but never teach until they practice what they preach
na hii ndo dichotomy tunayoiona kati ya ahadi na utekelezaji wa ilani ya ccm.
Mkuu, nimalizie tu kwa kurudia maneno ya Analyst mmoja aitwaye Miller J aliposema
The only thing that walks from the tomb with the mourners and refuses to to be buried is the character of a man/woman. this is true, what a man/woman is survives him. it can never be buried
watatudanganya kwa kununuliwa kanga na kofia kuonesha kuwa wanatujali but tukikubali basi tutaendelea kudanganyika. Principle wanayoitumia ni ile ya kukuza mambo ili waonekane wazuri. Socrates aliposhitakiwa kwa uongo alisema
Momentum is like a magnifying glass; it makes things look bigger than they are
We have always to remember according to Huffty S. that
It is not the position that makes a leader ; it is a leader that makes the position
In Tanzani, this will never ever be realized as long as the incumbent ccm and all its traits are still on power
Nawasilisha!