the-true-wash
Senior Member
- Oct 14, 2012
- 142
- 109
Nadhani itakua 1964
hapana 19,964 yaani kwa maneno ninenteen, nine sixty four.
Shwari mkuu niambie mzima wewe noahism
mie mzima ndugu !
Niambie... Nataka kumwelewa huyu vempaya muzee....
Kwa form 4 ambaye hajazungusha!
Jibu swali lifuatalo.... Ntakupa zawadi!
'je Tanzania ilipata uhuru mwaka gani?'
Kwa form 4 ambaye hajazungusha!
Jibu swali lifuatalo.... Ntakupa zawadi!
'je Tanzania ilipata uhuru mwaka gani?'
1954...haya,nipe zawadi yangu!!!
Tanzania bado haijapata uhuru mwalimu.