Tangu mwaka 2008 mwenendo wa kisiasa wa Zitto Zuber Kabwe ulianza kutiliwa shaka na wanachama wa CHADEMA ndani na nje ya chama, Hili lilipelekea kuibuka maneno ya chini kwa chini kuwa anakisaliti chama.Mbowe akasema hatumuangalii mtu usoni bali
Chama. Dr. Slaa akasema Zitto si Chochote na
ana makosa ya kisayansi.Sasa leo Zitto msaliti
Tena MM MSALITI
CHADEMA WAZIDI KUMPIGIA MAGOTI ZITTO
KABWE AMBAYE WALIMUITA MSALITI NA
MUHAINI::::Chama Cha Demokrasia na
maendeleo Chadema, kimekuwa katika mikakati
ya siri ya kukutana na Mh.Zitto ili wakutane
katika mazungumzo ya kukinusuru Chama
ambacho kinaendelea kupotea katika ramani ya
siasa za Tanzania.Kwa nyakati tofauti viongozi
wa Chadema taifa wamekuwa wakiwaagiza watu
walioko karibu na Zitto ili wafanye mazungumzo
na yaishe. Lakini Zitto amekataa kukutana na
Mbowe kwani ikumbukwe Mbowe na kundi lake
walimuita Zitto kwa majina mengi. Wapo
waliomuita Zitto ni msaliti,muhaini na wengine
wenye midomo mikubwa walisema Zitto aliuza
majimbo ya Chadema. Sasa kipindi Zitto anauza
majimbo,wao viongozi wa Chadema taifa
walikuwa wapi? au walishirikiana wote kuyauza?.
Wengine wakaenda mbali zaidi wakasema kuwa
Zitto ni mbunge wa Mahakama na kusahau Zitto
ni mbunge wa jimbo la Kigoma Kaskazini.
Mbowe akasema hatumuangalii mtu usoni bali
Chama. Dr. Slaa akasema Zitto si Chochote na
ana makosa ya kisayansi.Sasa leo Zitto msaliti
anaonekana mtu muhimu ndani ya Chadema?
Tena MM MSALITI leo muhimu ndani ya
Chadema,Kweli sasa Chadema yaanza kulamba
matapishi.
R.I.P CHADEMA.
KARIBU ACT-TANZANIA TAIFA KWANZA.
Kwa kuwa ni mwislamu. Hii ni fursa katika kupata kuungwa mkono na wanachama waislamu ambao wamekuwa na kigugumizi wakidhani waislamu hawatakiwi katika uongozi wa taasisi yetu.ZITTO
KABWE AMBAYE WALIMUITA MSALITI NA
MUHAINI::::
Zitto ameshapunguza ukaribu na viongozi wa serikali?ACT ni Chama makini watch me,Mwigamba,ZZK na Kitila Mkumbo vijana makini,tunataka mageuzi ndani ya Chama kipya sasa,propaganda zifikie tamati
Source waraka wa Kitila na Mwigamba!!Ni maoni yetu pia kwamba kuanzia sasa MM aenende katika mwenendo ambao utarahisisha ushindi. Mfano tunapendekeza afanye yafuatayo kuanzia sasa:
i. Apunguze ukaribu na viongozi wa serikali na wa chama tawala na awe crical zaidi na utendaji wa serikali nje na ndani ya bunge.
ii.
ACT ni Chama makini watch me,Mwigamba,ZZK na Kitila Mkumbo vijana makini,tunataka mageuzi ndani ya Chama kipya sasa,propaganda zifikie tamati
Kweli ww siasa mchanga sana kama chama chako na kwa mwendo huu wa kuwasema watu ndio mpate popularity duh! Kazi mnayo kwa ushauri tu njooni nyie kama nyie msiwaseme watu au chama njoo na hoja watu wachambue wenyewe na kama mnaona hapana sasa hv mnaanza kupopolewaCHADEMA WAZIDI KUMPIGIA MAGOTI ZITTO
KABWE AMBAYE WALIMUITA MSALITI NA
MUHAINI::::Chama Cha Demokrasia na
maendeleo Chadema, kimekuwa katika mikakati
ya siri ya kukutana na Mh.Zitto ili wakutane
katika mazungumzo ya kukinusuru Chama
ambacho kinaendelea kupotea katika ramani ya
siasa za Tanzania.Kwa nyakati tofauti viongozi
wa Chadema taifa wamekuwa wakiwaagiza watu
walioko karibu na Zitto ili wafanye mazungumzo
na yaishe. Lakini Zitto amekataa kukutana na
Mbowe kwani ikumbukwe Mbowe na kundi lake
walimuita Zitto kwa majina mengi. Wapo
waliomuita Zitto ni msaliti,muhaini na wengine
wenye midomo mikubwa walisema Zitto aliuza
majimbo ya Chadema. Sasa kipindi Zitto anauza
majimbo,wao viongozi wa Chadema taifa
walikuwa wapi? au walishirikiana wote kuyauza?.
Wengine wakaenda mbali zaidi wakasema kuwa
Zitto ni mbunge wa Mahakama na kusahau Zitto
ni mbunge wa jimbo la Kigoma Kaskazini.
Mbowe akasema hatumuangalii mtu usoni bali
Chama. Dr. Slaa akasema Zitto si Chochote na
ana makosa ya kisayansi.Sasa leo Zitto msaliti
anaonekana mtu muhimu ndani ya Chadema?
Tena MM MSALITI leo muhimu ndani ya
Chadema,Kweli sasa Chadema yaanza kulamba
matapishi.
R.I.P CHADEMA.
KARIBU ACT-TANZANIA TAIFA KWANZA.
Kuna kipindi niliona sio sahihi kuwafukuza cdm hila kwa hili kweli ilikuwa misaliti hii imechukua fedha za ccm
Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
CHADEMA WAZIDI KUMPIGIA MAGOTI ZITTO
KABWE AMBAYE WALIMUITA MSALITI NA
MUHAINI::::Chama Cha Demokrasia na
maendeleo Chadema, kimekuwa katika mikakati
ya siri ya kukutana na Mh.Zitto ili wakutane
katika mazungumzo ya kukinusuru Chama
ambacho kinaendelea kupotea katika ramani ya
siasa za Tanzania.Kwa nyakati tofauti viongozi
wa Chadema taifa wamekuwa wakiwaagiza watu
walioko karibu na Zitto ili wafanye mazungumzo
na yaishe. Lakini Zitto amekataa kukutana na
Mbowe kwani ikumbukwe Mbowe na kundi lake
walimuita Zitto kwa majina mengi. Wapo
waliomuita Zitto ni msaliti,muhaini na wengine
wenye midomo mikubwa walisema Zitto aliuza
majimbo ya Chadema. Sasa kipindi Zitto anauza
majimbo,wao viongozi wa Chadema taifa
walikuwa wapi? au walishirikiana wote kuyauza?.
Wengine wakaenda mbali zaidi wakasema kuwa
Zitto ni mbunge wa Mahakama na kusahau Zitto
ni mbunge wa jimbo la Kigoma Kaskazini.
Mbowe akasema hatumuangalii mtu usoni bali
Chama. Dr. Slaa akasema Zitto si Chochote na
ana makosa ya kisayansi.Sasa leo Zitto msaliti
anaonekana mtu muhimu ndani ya Chadema?
Tena MM MSALITI leo muhimu ndani ya
Chadema,Kweli sasa Chadema yaanza kulamba
matapishi.
R.I.P CHADEMA.
KARIBU ACT-TANZANIA TAIFA KWANZA.
ACT ni Chama makini watch me,Mwigamba,ZZK na Kitila Mkumbo vijana makini,tunataka mageuzi ndani ya Chama kipya sasa,propaganda zifikie tamati
Chadema ndiyo walevi tena ulivyo wao ni ule wa kuwapeleka motoni.Sasa hicho ni chama au kundi la walevi na wasaka tonge tuu?