Hivi karibuni kuna msanii wa kike wa bongo fleva, alifungiwa kufanya au kushiriki shughuli yoyote ya mziki kwa mwaka mmoja na Baraza la Muziki la Taifa, kwa kile kilochosemekana eti alidhalilisha umma wa Watanzania alipokuwa akitumbuiza nchini Sweden, lakini cha kushangaza msanii huyo amekuwa akifanya shughuliza za mziki na chama kimojawapo cha siasa katika kampeni.
Swali je, BASATA wameliona hilo au ni kiini macho tu kwa sisi watanzania?
Swali je, BASATA wameliona hilo au ni kiini macho tu kwa sisi watanzania?