Swali. Kwa anaepajua kakonko kigoma

Swali. Kwa anaepajua kakonko kigoma

Pako poa tu mdau miundombinu ya kawaida barabara vumbi lakini zinapitika vyema, security ki mtindo imetulia mji uko baridaa in short... umeme sidhani kama umemshuka pale japo solar zinawakilisha tokea kitambo..mi last time mwaka jana nilikuwa mitaa ile. Fika ujionee mwenyewe si mbali sana kutokea nyakanazi na wala ai mbali na kibondo.
 
asante mkuu
 
Wadau naomba kujuzwa kuhusu kakonko miundo mbinu, umeme, huduma za afya.

Umeme hakuna,barabara ni ya vumbi uvumilivu ni muhimu vyakula tele sana najua wewe ni Mwl tegemea kuona baadhi ya mambo ambayo ni kawaida
 
Jipange kifikra na kimwili..kakonko kuna changamoto nyingi saaana. Ni miongoni mwa sehemu ambazo maendeleo yamechelewa saana I mean saana. Watu hawajui hata kiswahili ni kiha na kirundi.

Ila kuna watu wanaishi and they are happy!!
 
Back
Top Bottom