Mpe muda. Baada ya kutoka hedhi hamu inakata kisha baadae saana inarudi... Ila jaribu kumpa zawadi na kufanya vinavyo mvutia.. Huwa sisi iko kwenye moyo na akili zaidi... Nwambie maneno matamu sababu haijalishi umemuandaaje kama hajakubali moyoni ataona unafanya chini ya kiwango anaweza kukudharau.