Swali kwa akina Sisters

Swali kwa akina Sisters

wape hela ndio Starter yao watakojoa mpaka uanike godoro...
 
Utofauti upo kwenye vichocheo (HORMONES) Za kike huwa huchelewa sana kuwa active, hasa akiwa na mawazo mengine, ila zikishika moto dah! ni shida hazipoi haraka, hapo ndo atakwambia umenitekenya tu!!! lkn za kiume huwa ni active sana na hupoa haraka.
 
Kwa nini wanawake wanakua hawana hamu ya tendo la ndoa yaani hata kama akikupa unajitahidi
kumuandaa lakini hazimpandi yaani inafika mpaka KITU kiko ndani lakini wapi
Na mwanaume akiliona PAJA tu KITU hicho , Hivi inakua aje ?
Tatizo lako unakurupuka tu. Bila kumwandaa.
Atakuwaje na hamu sasa.
Kama unabaka vile. Mjitahidi kuwaandaa vizuri ndo utajua Ana hamu au hana hamu....
 
Back
Top Bottom