Swali: kuhusu uchimbaji wa kaburi!

Shomari

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,112
241
Swali: naomba kuuliza ni kwanini siku zote kaburi huchimbwa kwa urefu wa futi Sita(6) kwenda chini? nimekuja kugundua kipimo hicho hakitumiki kwa Tanzania tu bali na sehemu nyingine duniani. Ni jambo gani linaweza kutokea kama ukichimba urefu unaopungua ama unaozidi hapo? na ni kwanini iwe namba sita, kuna siri gani kuhusu hiyo namba? asanteni kwa mchango wenu!
 
Mh binafsi nahisi its a standard ilowekwa perhaps ukichimba zaidi utakutana na maji na ikiwa less than futi 6 kuna risk ya udongo ukichimbwa kidogo waweza kuufikia mwili. Jaribu ku "google" labda utapata jibu la uhakika..
 
Hiyo 6ft ni urefu wako ila kwa kina haifiki size hiyo. Kwa watu wazima inaweza kuwa 6*5 au 6*4./4.5. /7*5.5.
 
Nadhani ndiyo urefu ambao unakubalika kwenye maandiko kwasababu hata Mungu alifanya kazi siku 6 na siku ya 7 akapumzika.
 
Ilikuwa ni sheria iliyotokea England kwamba lazima kaburi lazima liwe at least 6ft ili kuzuia maambukizi ya magonjwa (walidhani hii itasaidia) na wanyama kutochimba kwa urahisi. Ingawa sasa sheria hio haipo tena na 6ft imebakia kuwa msemo tu....


Source: How did 6 feet became the standard depth for burying people?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…