Shomari
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 1,112
- 241
Swali: naomba kuuliza ni kwanini siku zote kaburi huchimbwa kwa urefu wa futi Sita(6) kwenda chini? nimekuja kugundua kipimo hicho hakitumiki kwa Tanzania tu bali na sehemu nyingine duniani. Ni jambo gani linaweza kutokea kama ukichimba urefu unaopungua ama unaozidi hapo? na ni kwanini iwe namba sita, kuna siri gani kuhusu hiyo namba? asanteni kwa mchango wenu!