Swali Kuhusu Ripoti ya ACACIA

Scarlet Pimpernel

JF-Expert Member
Feb 22, 2017
576
500
Mimi nina swali. Ripoti inasema ACACIA anadaiwa Trillioni 108.5/= na serikali ($50 billion) kama kodi kutoka kwenye faida ya mauzo. Faidia ni kiasi gani? $150 billion labda? Hapo nimekisia 30% tax

1998 hadi 2017 ni miaka 19 kwa hiyo faida kila mwaka ni roughtly 150/19 = $7billion. Mbona ripoti za ACACIA UK zinonyesha revenue (faida, cost na kila kitu) ni roughly $1 billion kwa mwaka? $7 billion profit inatoka wapi? Inamaana wao wenye wanadanganya mpaka London na kushusha thamani ya hisa zao wenyewe? Kuficha PROFIT ya $7 billion na kuripoti revenue ya $1 billion unafikiri sio kitu rahisi. Mtu anaweza ku-estimate revenue kutokana na "size of operations" kirahisi sana. Kupata $7 billion profit ACACIA ingebidi iwe na turnover/revenue ya kama $70 billion (10 - 20% profit). Hapo ingukwa ina revenue zaidi ya BHP yenye mining assets 20 na ni ya kwanza au ya pili kwa ukubwa duniani. ACACIA inazo 3 tu.

BHP Billiton - Wikipedia

Market report: Barrick Gold hopes of selling Acacia stake burnished

Barrick wamehanya na kushindwa kuuza 63% ya hisa zake kwa $1.9 billion miaka kibao. Ndio kwanza walikuwa wanaelekea kupata mnunuzi akaiingia mitini baada ya hili sakata!

Kuuliza na kutilia shaka "logic", "reasoning" na "approach" ya serikali sio usaliti. Kuuliza ndio uzalendo wa kweli. Tusipelekwe kama mbuzi. Sisemi hatuibiwi wala sisemi mikataba ni mizuri lakini gari tumeuza wenyewe kwa bei ya che ndani ya mikataba. Cha msingi ni kushughlikia mikataba kwa kufuata utaratibu
 
MTENDAHAKI

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
4,009
2,000

Hili nimeshalijibu kwa mwenzio salary slip
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom