mishe bwoy
Senior Member
- Oct 26, 2014
- 116
- 34
Habari wakuu!!
Naomba kuuliza haya makampuni yaliokithiri kila kona siku za karibuni
Yanatoa viwanja na mashamba kwa kulipa kidogo kidogo,,yan ukweli ndani yake??kuna mtu alishajaribu,,maana hadi saba saba walikuwepo na mabanda yao ila bado roho inasita ila wamenitamanisha,eb funguken wakuu tusije pigwa ivi ivi!