Swali kuhusu bosi mpya wa TPDC

naye naskia ka submi resignation yake

wenye nchi wamegoma
 
Hili la Compensation siyo news katika ulimwengu wa ushindani.Tukiendelea hivi,public sector corporations zitabakiza magarasha,kisha zitakuwa kama zile za Siku za ujamaa.Watanzania tuna shida ya wivu,na kijicho,kwa nini huyu analipwa nyingi.Ugonjwa huu upo private sector,upo public na NGOs.Miaka 4 iliyopita pay yangu ilikuwa inawapita Kanisa wangu kadhaa.Wakaanzisha fitina hadi kwa Mkuu wa Taasisi (Country Director).CD akawambia Kila MTU aliingia kwa kunegotiate (Kitu ambacho waTZ tukio very weak).Wakaongeza wamenywea.Niliwahi kuwa na boss wangu,kwenye TNC (Transnational Corp),akilipwa US20K per month,Akiwa MBA graduate wa prestigious college ya RSA.Akanote ninapungukiwa morali,alikuwa mkaburu,akaniambia,Hebu malizia MBA tuongee vizuri.Nikajipinda,kabla sijamaliza akarudi kwao.
Kwa sasa natumikia umma,lakini nasikitika hii issue ya pay.
Kama MTU huko skilled,kasoma shule nzuri,nawe kwenye umma unamletea mchezo,wakati the same person anaweza kuperform kwani nini akomae?Eric kisa uzalendo!
Tujifunze kuappreciate differences,kama wakati wenzio walipelekwa shule nzuri wear ukapelekwa St.Kayumba,ujue gap limeanzia hapo.
 
Tatizo wana JF mnapost mada isiyokuwa na chanzo cha habari (source). Huyo Boss mpya wa TPDC ni nani? Mimi namjua Yona Kilighane kama ameingia Mzungu tueleze mtoa mada.
hahahhahaha kweli unahitaji source kama unamjua yona mpk leo
 
Hivi una uhakika ni hicho kiasi cha pesa ulichoandika? USD 25 billions? Unajua mradi wa kujenga reli Standard Gauge kwa kilometer 2,500 ni USD 7 billions? Hiyo LNG plant tu ndio iwe USD 25 billions? Kweli?
kwanza unaijua hiyo LNG ulinganishe na hiyo reli?
 
Napita tuuu wakuu
 
Kwani yeye utaratibu wa kuomba kibali kwake hautumiki? Acha majungu
 
Kashasimamishwa kazi
 
yeye au watu wake walikuwa wananitumia PM humu JF za kunitisha nifute huu uzi
ague tuu kuwa mimi kwetu ni kanda ya Ziwa hivyo sitishwi nyau. Hizi ni zama zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…