Swali kuhusa huduma ya Blackberry

GAMBLER

JF-Expert Member
Nov 22, 2009
303
11
Wadau nimelipa huduma ya internet ya Blackberry kwa muda wa miezi 6(natumia tigo), Sasa hivi nataka kuuza simu ya Blackberry, ninunue nyingine ya Blackberry, vipi kuhusu huduma niliyolipia kama nitaweka line yangu niliyolipia, nitaweza kupata
huduma yangu ya internet??
 
Unaweza kuuza tu. Huduma imesjiliwa kwenye line yako so ukiuza na kuanza kutumia blackberry mpya unaendelea kufurahia huduma za bb kama kawaida
 
Wadau nimelipa huduma ya internet ya Blackberry kwa muda wa miezi 6(natumia tigo), Sasa hivi nataka kuuza simu ya Blackberry, ninunue nyingine ya Blackberry, vipi kuhusu huduma niliyolipia kama nitaweka line yangu niliyolipia, nitaweza kupata
huduma yangu ya internet??

Utaendelea kutumia hiyo huduma, haina shida. I did it before kwahiyo am so sure, cha muhimu wipe hiyo simu yako kabla haujaiuza

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
una hakika?

ndio...na uhakika wa mia kwa mia (natumia BIS) ...nilikuwa natumia bb device then nikapata device tofauti na ya awali...nikahamisha line na bado nikaendelea kupata huduma...kwa kuwa nina device mbili sasa, mojawapo inayokwisha chaji nahamisha line kwenda ya pili na bado naenjoy bb service...
 
Back
Top Bottom