Swali: kosa langu ni nini sasa?!

Swali: kosa langu ni nini sasa?!

Kuna dem Kaweka status kuwa "Alichonipa Mungu Mwanadam hawezi kukiondoa"

Nikamuuliza kwa Upole Bikra yako iko wapi..??

Ghafla namtumia sms haziendi nadhani mtandao utakua unasumbua


Maswali mengine buana? We unadhani angekupa jibu gani?

Au swali lako lililenga majibu gani?

Acha kuwadhalilisha wanawake buana!
 
hahahahahaaa afu ww Money penny weweee


Utan wa ngumi huo ss
Inasikitisha sana...


Cc: mahondaw
Aiseee! Kuna majibu!
Alipata ajali ikatoka
Alipata ajali ikatoka
Ha ha haaaaaa

Ilipotea labda kwa kupigwa na upepo mkali..
Hahahaa sikuwezi
Labda kaichukua mungu mwenyew😉😉
Hahaha uzuri wote ni ma shost so mtayamaliza,acha utani wa ngumi mkuu atakuwa amemaindi maana yawezekana ilikuwa moja ya best place of aher body
Amekubrock

Ukimaliza uje huku nimeshusha stori jamenii Story: Money Penny ni nani lakini?!
 
Back
Top Bottom