Swali: Je Unajua Kukatika Kitandani?!

Mkuu unaweza ukakatika mpaka miguu ikapishana lakini kama si mnyenyekevu, huna kauli nzuri swala la kuchepuka linakuwa inevitable.
Mmmh
Unayoongea ni theory
Practical utampata mnyenyekevu akakaa kama gogo bado utamkumbuka asiemnyenyekevu ukarudia kwake
Tumeona mengi
akili za wanaume tunazijua sisi akina bibi
 

Nasubiria kuona wanaume watakao unga mkono hii hoja ya wanaume kukatita kisha niwafuate Inbox nikajadili nao Jambo kidogo.
 
Hayo yote ni extra tu kitu cha muhimu kwa mwanamke ni hekima na akili ya kuweza kuishi na mume wake mengine yatajiseti yenyewe
Hayo yote wenzio wanafanya bado wanalia
Ode kitanda Mungu anakiheshimu ndio maana Mtume Paul alisema na Malazi yawe safi (bedroom)
Huku kwenye ndoa utaigiza sanaa zote za unyeyekevu na hekima na adabu mwisho wa siku mume anataka nanilii za kuchizishana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…