Anaendelea ki vipi wakati uwaziri unatokana na ubunge?Waziri anaendelea mpk uchaguzi
Bado wanaendelea kutafuna nchiAsante sana Mkuu
Mbona Rais anabaki? kinachofuatwa ni katiba, kwani PM naye hatakuwepo na ulinzi utaondolewa? ni kati ya hovyo sn hii ndiyo maana Rais ni mgombea na anaweza kuteua hata makatibu wakuuAnaendelea ki vipi wakati uwaziri unatokana na ubunge?
Rais mpya akiapishwa, kibarua cha kila waziri wa kipindi kilichopita kinayeyuka!Uwaziri unakoma wkt gani sasa. Au ndio kama alivyosema mkuu hapo juu
Baada ya Uchaguzi Mkuu, Mawaziri wote hawana kazi.Rais mpya akipishwa, kibarua cha kila waziri wa kipindi kilichopita kinayeyuka!
The beat goes onLife goes on
Na sio baada ya uteuz au uapisho ?Baada ya Uchaguzi Mkuu, Mawaziri wote hawana kazi.
Na mimi ndo nachojua.Bunge likivunjwa mawaziri wanakoma na ndinga zote zinarejeshwa pale kwa mwenywe.wizara zinaongozwa na makatibu wakuuNa uwaziri unakoma wizara zinaendeshwa na makatibu wakuu
Not true. Soma Katiba ya Tanzania—Ibara ya 51(3) [kuhusu Waziri Mkuu] na Ibara ya 57(2)(f) [kuhusu mawaziri na manaibu wao]. Vibarua vyao vinayeyuka immediately before the president-elect takes oath of office! That means wanakuwa mawaziri mpaka dakika chache kabla ya Rais Mteule kuapishwa.Baada ya Uchaguzi Mkuu, Mawaziri wote hawana kazi.