Wakuu habarini za asubuhi, kuna tatizo kidogo limejitokeza ,ni kwamba nimeapply mkopo ila nilifanya makosa na kutuma cheti cha kuzaliwa bila kuwa verified na RITA,sasa swali langu ni je awamu hii watatoa nafasi tena ya kufanya marekebisho?
Sent using
Jamii Forums mobile app