Mwanamena
JF-Expert Member
- Feb 4, 2020
- 1,107
- 1,343
Mkuu, operations za bank hazitegemei mitaji yao tu, hela tunazoweka wateja Mara nyingi ndizo zinazotumika kuendesha benki, Ni Kama upatu Fulani hivi unafanyika then watu wanakopeshwa kupitia michango hiyo.dah kweli magumashi. sasa kwa nini hao banki kuu wasihakikishe kuwa dhamana ambayo benki inaweka benki ku inakuwa kubwa kiasi cha kuweza kucover atleast half ya biashara ambayo hiyo benki inafanya.
Ndiyo maana BOT unaweka mtaji wa kuanzia tu, Sasa operations za benki zikiyumba inamaanisha hela za wateja zimeyumba, hapo hakunaga swalia mtume, vinginevyo uwe secured creditor.
The rest munaweza kutoka patupu hata Senti 50 Ile yenye upande Sungura, huwezi pata.
Sent using Jamii Forums mobile app