Swali: Inapotokea umefungua Fixed Account na benki ikafilisika, kisheria nini uwa kinafanyika kumfidia mteja?

Twinawe

JF-Expert Member
Oct 3, 2016
2,353
5,079
Nauliza hivyo sababu niliona mzee wangu amepoteza pesa nyingi baada ya Bank ya Wakulima kufungwa kisa kufilisika na waliishia kupewa fidia ya million 1.5.

Je, nini huwa kinatokea kwa Fixed Account?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo financial reports naweza kuzipata wapi? Na je hakuna uwezekano wa kuchakachuliwa?

(Nauliza kwa maslahi ya jukwaa zima, I'm waiting for your answers)

Sent using Jamii Forums mobile app
Wekeza kwenye international Bank za Ulaya au Asia ambazo hata zikiyumba serikali zao huwaspaoti na sio hizi Efatha Bank zikiyumba ni kutikisika mazima wateja mnakwapuliwa visenti vyenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tujifunze kwa nchi zilizostaarabika,, kwenye mabenki wazungu kuna mabenki wameyacategorize kuwa ni "too big to fail" mojawapo ni Citibank ambayo ipo pia Tanzania

Kwa hiyo akiba kubwa za kudumu ni kuweka katika benki hizo zinazoitwa "too big to fail" , huku akaunti za miamala ya biashara au matumizi mbalimbali hamna shida kuweka benki yeyote ile hata iwe ndogo vipi maana ni kutoa kuweka kutoa kuweka basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilidhani Benki kuu ambayo ina dhamana ya kusimamia benki hizi inatakiwa kuwalipa watu pesa walizoweka punde benki fulani inapofilisika. Sijui kiuhalisia inakuwaje!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
cha msingi ni kuangalia financial status kabla ya kuwekeza, au nenda Benki kuu watakueleza benki zilizoko kwenye hatari ya kufilisika, benki kuu kila benki inaweka amana yao kama bilioni 2, benki ikifilisika ndio pesa inagawanywa kwa wateja wote pamoja na asset mbali mbaali za benki, kuna benki ilikuwa inaitwa meridian biao ilifilisika hakuna alielipwa hata mia , asubui wateja wanakuta makufuli ndio imetoka hiyo.
 
Na bank gani nzuri kwa sasa kutunza pesa zako?. Bank ambayo haiwezi kwenda hali jojo?. Nataka nijue kama nichomoe
Jibu hili hapa chini.
Tujifunze kwa nchi zilizostaarabika,, kwenye mabenki wazungu kuna mabenki wameyacategorize kuwa ni "too big to fail" mojawapo ni Citibank ambayo ipo pia Tanzania

Kwa hiyo akiba kubwa za kudumu ni kuweka katika benki hizo zinazoitwa "too big to fail" ,
Ametolea citybank kama mfano, Hivyo nawe Swet-R , fanya tafiti uone ni benki ipi ya kimataifa itakidhi mahitaji yako
 
Ngoja waje kukupa muongozo...

Ila kampuni au taasisi inapotangaza kufilisika na ikathibitika kweli, madeni yake ina maana kwamba hayalipiki...

Cc: mahondaw
 
Usalama wa mteja na Mali zake ni upi endapo bank itafilisika na bank inafilisika VP kukosa ela za kuwarudishia ela zake
cha msingi ni kuangalia financial status kabla ya kuwekeza, au nenda Benki kuu watakueleza benki zilizoko kwenye hatari ya kufilisika, benki kuu kila benki inaweka amana yao kama bilioni 2, benki ikifilisika ndio pesa inagawanywa kwa wateja wote pamoja na asset mbali mbaali za benki, kuna benki ilikuwa inaitwa meridian biao ilifilisika hakuna alielipwa hata mia , asubui wateja wanakuta makufuli ndio imetoka hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna usalama wowote buana umeambiwa mnalipwa kifuta jasho tu kila aliekuwa ameweka hera huko bila hata kujali alikuwa ana sh ngap maana yake hapo kuna wale walioweka nyingi na ndogo mnafanana kifuta jasho angalia hata desi ilivofingwa nn militokea kuna wengine hawakupa hata 100 japo niliskia kuna wakubwa walipewa kifuta jasho pia kwaiyo inabidi kuwa makini na kuchukua hatadhali sana mambo yakijakibika imekula kwako
 
cha msingi ni kuangalia financial status kabla ya kuwekeza, au nenda Benki kuu watakueleza benki zilizoko kwenye hatari ya kufilisika, benki kuu kila benki inaweka amana yao kama bilioni 2, benki ikifilisika ndio pesa inagawanywa kwa wateja wote pamoja na asset mbali mbaali za benki, kuna benki ilikuwa inaitwa meridian biao ilifilisika hakuna alielipwa hata mia , asubui wateja wanakuta makufuli ndio imetoka hiyo.

Duh hiyo mbona balaaa sasa hao dawa yao moja tuu.... Unajibadilisha kuwa mtaliban basi
 
cha msingi ni kuangalia financial status kabla ya kuwekeza, au nenda Benki kuu watakueleza benki zilizoko kwenye hatari ya kufilisika, benki kuu kila benki inaweka amana yao kama bilioni 2, benki ikifilisika ndio pesa inagawanywa kwa wateja wote pamoja na asset mbali mbaali za benki, kuna benki ilikuwa inaitwa meridian biao ilifilisika hakuna alielipwa hata mia , asubui wateja wanakuta makufuli ndio imetoka hiyo.

dah kweli magumashi. sasa kwa nini hao banki kuu wasihakikishe kuwa dhamana ambayo benki inaweka benki ku inakuwa kubwa kiasi cha kuweza kucover atleast half ya biashara ambayo hiyo benki inafanya.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom