Hizo financial reports naweza kuzipata wapi? Na je hakuna uwezekano wa kuchakachuliwa?Ndo maana financial reports zinatoka kila robo mwaka kuonyesha uwezo wa kila benki
Kisheria kampuni ikifilisika huwa haidaiwi
Chagua kwa umakini sehemu ya kuweka akiba yako
Wekeza kwenye international Bank za Ulaya au Asia ambazo hata zikiyumba serikali zao huwaspaoti na sio hizi Efatha Bank zikiyumba ni kutikisika mazima wateja mnakwapuliwa visenti vyenuHizo financial reports naweza kuzipata wapi? Na je hakuna uwezekano wa kuchakachuliwa?
(Nauliza kwa maslahi ya jukwaa zima, I'm waiting for your answers)
Sent using Jamii Forums mobile app
Wekeza kwenye international Bank za Ulaya au Asia ambazo hata zikiyumba serikali zao huwaspaoti na sio hizi Efatha Bank zikiyumba ni kutikisika mazima wateja mnakwapuliwa visenti vyenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu hili hapa chini.Na bank gani nzuri kwa sasa kutunza pesa zako?. Bank ambayo haiwezi kwenda hali jojo?. Nataka nijue kama nichomoe
Ametolea citybank kama mfano, Hivyo nawe Swet-R , fanya tafiti uone ni benki ipi ya kimataifa itakidhi mahitaji yakoTujifunze kwa nchi zilizostaarabika,, kwenye mabenki wazungu kuna mabenki wameyacategorize kuwa ni "too big to fail" mojawapo ni Citibank ambayo ipo pia Tanzania
Kwa hiyo akiba kubwa za kudumu ni kuweka katika benki hizo zinazoitwa "too big to fail" ,
Ndo maana financial reports zinatoka kila robo mwaka kuonyesha uwezo wa kila benki
Kisheria kampuni ikifilisika huwa haidaiwi
Chagua kwa umakini sehemu ya kuweka akiba yako
cha msingi ni kuangalia financial status kabla ya kuwekeza, au nenda Benki kuu watakueleza benki zilizoko kwenye hatari ya kufilisika, benki kuu kila benki inaweka amana yao kama bilioni 2, benki ikifilisika ndio pesa inagawanywa kwa wateja wote pamoja na asset mbali mbaali za benki, kuna benki ilikuwa inaitwa meridian biao ilifilisika hakuna alielipwa hata mia , asubui wateja wanakuta makufuli ndio imetoka hiyo.

Sio kila mtu anauwezo wa ku interpret financial StatementsNdo maana financial reports zinatoka kila robo mwaka kuonyesha uwezo wa kila benki