Swali: Humphrey Pole pole unamtumikia nani?

Ina maana lowasa anainfluence kubwa kiasi hicho?Na kama pole pole aliyajua hayo kwanini hakusema siku zote?Ule wa jana haukuwa mdahalo ila ni kampeni za kiujanja ujanja.
Ila ni kama watu wanajichanganya kwani butiku alisema wakati anamnukuu nyerere kwamba upinzani wa kweli utatoka ndani ya ccm,na mtu akihama hakuna sababu ya kuwa maadui kwani kuhama huko kutatokana na tofauti za kimtazamo,je lowasa angeendelea kuwa ccm wangemuita fisadi kama ilivyo sasa?Na kwanini kama aliibia nchi sheria isingechukua mkondo wake tokea 2008?
 
  • Thanks
Reactions: Awo

Na vyombo vyote vya dola viko mikono mwa wanao mwita LOWASSA fisadi.
 
Anza kujiuliza wewe binafsi kwamba hivi unamtumikia nani ndio ufuate kumuuliza polepole,hakuna mwana UKAWA ambaye aliwahi kubali ufisadi wa lowasa,leo mnamtumikia nani hata mmuone anafaa,mlizunguka tanzania nzima kutuaminisha kwamba lowasa hafai ni mwizi na fisadi then leo mnamshangaa Polepole ambaye hajabadili msimamo wake kumpinga Lowasa.

Tunahitaji UKAWA ili watuletee katiba ya wananchi sio samia na magufuri kwenye ccm waliovuruga na kupuuza maoni ya wananchi.
 
Anawatumikia wazalendo wa nchi dhidi ya mafisadi wanaotaka kuwa viongozi

Bora kutumikia zimu ulijualo kuliko usio lijua. Yupi bora fisadi anaejitambua au fisadi mnafiki? Magufuli is more dangerous kwa ufisadi kuliko unavyo dhania na kufikiri.
 
Huyu Pole Pole nashindwa kumwelewa inamaaana ufisadi mkubwa ni Richmond? Epa,escrow,twiga,madawa,oporeshini ya kuuwa watu kwenye makazi yao ?na sasa ges? Huyu haoni haya? Barabara mbovu haoni?au vyote lowassa? Mi mi Kama mzalendo wa kweli nitaiondoa madalakani Ccm mapemaaa bila kujari ila lowassa katuambia akichukua nchi wajiandae ze hegi
 
POLEPOLE UNAMTUMIKIA NANI?

Na Ally Rama.

Nimetoka kuangalia mdahalo kuhusu amani; umoja na haki kupitia star TV pale ubungo blue pearl hotel..

Kwa title ya mdahalo; niliamini watajadili kuhusu haki; umoja na amani lakini wakajielekeza kwenye uchaguzi mkuu bila kugusa vipengele husika..

Miongoni mwa hoja zilizotawala mjadala (si kwa Bahati mbaya) ni mjadala Wa urais kati ya wagombea wawili Magufuli na lowassa..

Polepole kwa nafasi yake; aliendelea kuonesha chuki zake kwa lowassa na alitumia mchakato Wa kupata katiba mpya kuelezea namna Lowassa alivyohujumu mchakato ule hivyo hafai kuwa rais na huo ndio ugomvi wake na lowassa ulipoanza..

Polepole kwa maelezo yake anasema; Lowassa ndie aliharibu mchakato na akaratibu harakati za kupinga kupatikana kwa katiba ya wananchi kwa kigezo cha kuwa mapendekezo Yale yanadhoofisha taasisi ya Urais..

Akaendelea kudai; walienda kumuomba akubali maoni yao lakini akakataa..

Nikaanza kuukumbuka mchakato ulivyokaenda na nikaja na maswali yafuatayo..

1: Lowassa ndani ya CCM hakuwa mwenyekiti wala katibu mkuu..
ndani ya serikali hakuwa hata Waziri..
Sasa nguvu ya kuhodhi mchakato ule bungeni aliitoa wapi?

2: hasimu wake kisiasa Mzee Sitta ndie Alikuwa mwenyekiti Wa bunge maalum la kufinyanga katiba ya wananchi..
Nae aliingizwa king na Lowassa??

3: mama Samia Suluhu Hassan ambaye leo ni mgombea mwenza Wa magufuli; nae aliingizwa king na lowassa afinyange katiba?

4: Mwigulu Nchemba; January na Vijana wengine Makini ndani ya CCM waliipinga rasim ya warioba; nao waliingizwa king na lowassa?

5: inajulikana hata adui mwingine Wa lowassa; paul Makonda alishadadia swala la kifinyanga maoni ya wananchi hasa kwenye kipengele cha muundo Wa muungano..
Akampiga Mzee warioba...
Akazawadiwa ukuu Wa Wilaya ya kinondoni..
Nae aliingizwa king na lowassa??

6: membe nae alipinga muundo Wa muungano..
Nae aliingizwa king na lowassa??

7: Mzee kikwete km rais Wa nchi aliishiwa nguvu ya kuhimili mihemko ya wabunge Wa CCM hadi akaelekea kibra..

Nae aliingizwa king na lowassa??
Aliwazawadia ukuu Wa wilaya Akina Makonda kwa kupinga katiba ya warioba..
Nae aliingizwa king na lowassa??

Eti kweli lowassa pekee ndie alikwamisha mchakato ule?

Kakangu Polepole; hebu kuwa mkweli hapa...

Hao unaowapigia kampeni ndio walokwamisha mchakato Wa katiba mpya..

Polepole Vaa uzalendo; Vaa utanzania..
Zungumza ukweli..

La sivyo tuambie unamtumikia nani??

Ni wazi kuwa Pole Pole hana Moral Authority ya kuwaambia Watanzania kuwa Lowassa aliingilia Mchakato wa Maoni ya Watanzania katika kuipata Katiba Mpya, Mchakato wa kuipata Katiba Mpya kama ni kukwamisha nadhani arudi kwa Mwenyekiti wa Ccm ambaye aliridhika na mambo ya kihuni yaliyopelekea kuvunja utu wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Time ya Katiba Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba.

Pole pole alikuwa mfuasi wa Katiba ya maoni inayoungwa Mkono na Wananchi ya Serikali tatu na aliipigania sana na ambayo inaungwa Mkono na UKAWA. Ni ajabu sana kuona anaegemeza matusi na hoja dhaifu kwa Mgombea Urais wa UKAWA ambaye anatetea Katiba aliyoipigania.
Tumpuuze kwa kuwa in dhahiri kuwa anatumika na Ccm.

Edited by,
pg.

Polepole ni mgonjwa tena anaumwa ugonjwa wa kusahau.
Anafikiri kuwa tumesahau kuwa ccm na serikali yake ndiyo waliotufikisha hapa.
Epa, Deep green, Richmond na Escrow tunajua fika kuwa ni miradi ya kifisadi ya ccm na serikali yake

Kumubambikia Lowassa pekee yake ni kujitoa ufahamu kidogo.
Watanzania tumchague Lowassa atatusaidia sana!
 
POLEPOLE UNAMTUMIKIA NANI?

Na Ally Rama.

Nimetoka kuangalia mdahalo kuhusu amani; umoja na haki kupitia star TV pale ubungo blue pearl hotel..

Kwa title ya mdahalo; niliamini watajadili kuhusu haki; umoja na amani lakini wakajielekeza kwenye uchaguzi mkuu bila kugusa vipengele husika..

Miongoni mwa hoja zilizotawala mjadala (si kwa Bahati mbaya) ni mjadala Wa urais kati ya wagombea wawili Magufuli na lowassa..

Polepole kwa nafasi yake; aliendelea kuonesha chuki zake kwa lowassa na alitumia mchakato Wa kupata katiba mpya kuelezea namna Lowassa alivyohujumu mchakato ule hivyo hafai kuwa rais na huo ndio ugomvi wake na lowassa ulipoanza..

Polepole kwa maelezo yake anasema; Lowassa ndie aliharibu mchakato na akaratibu harakati za kupinga kupatikana kwa katiba ya wananchi kwa kigezo cha kuwa mapendekezo Yale yanadhoofisha taasisi ya Urais..

Akaendelea kudai; walienda kumuomba akubali maoni yao lakini akakataa..

Nikaanza kuukumbuka mchakato ulivyokaenda na nikaja na maswali yafuatayo..

1: Lowassa ndani ya CCM hakuwa mwenyekiti wala katibu mkuu..
ndani ya serikali hakuwa hata Waziri..
Sasa nguvu ya kuhodhi mchakato ule bungeni aliitoa wapi?

2: hasimu wake kisiasa Mzee Sitta ndie Alikuwa mwenyekiti Wa bunge maalum la kufinyanga katiba ya wananchi..
Nae aliingizwa king na Lowassa??

3: mama Samia Suluhu Hassan ambaye leo ni mgombea mwenza Wa magufuli; nae aliingizwa king na lowassa afinyange katiba?

4: Mwigulu Nchemba; January na Vijana wengine Makini ndani ya CCM waliipinga rasim ya warioba; nao waliingizwa king na lowassa?

5: inajulikana hata adui mwingine Wa lowassa; paul Makonda alishadadia swala la kifinyanga maoni ya wananchi hasa kwenye kipengele cha muundo Wa muungano..
Akampiga Mzee warioba...
Akazawadiwa ukuu Wa Wilaya ya kinondoni..
Nae aliingizwa king na lowassa??

6: membe nae alipinga muundo Wa muungano..
Nae aliingizwa king na lowassa??

7: Mzee kikwete km rais Wa nchi aliishiwa nguvu ya kuhimili mihemko ya wabunge Wa CCM hadi akaelekea kibra..

Nae aliingizwa king na lowassa??
Aliwazawadia ukuu Wa wilaya Akina Makonda kwa kupinga katiba ya warioba..
Nae aliingizwa king na lowassa??

Eti kweli lowassa pekee ndie alikwamisha mchakato ule?

Kakangu Polepole; hebu kuwa mkweli hapa...

Hao unaowapigia kampeni ndio walokwamisha mchakato Wa katiba mpya..

Polepole Vaa uzalendo; Vaa utanzania..
Zungumza ukweli..

La sivyo tuambie unamtumikia nani??

Ni wazi kuwa Pole Pole hana Moral Authority ya kuwaambia Watanzania kuwa Lowassa aliingilia Mchakato wa Maoni ya Watanzania katika kuipata Katiba Mpya, Mchakato wa kuipata Katiba Mpya kama ni kukwamisha nadhani arudi kwa Mwenyekiti wa Ccm ambaye aliridhika na mambo ya kihuni yaliyopelekea kuvunja utu wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Time ya Katiba Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba.

Pole pole alikuwa mfuasi wa Katiba ya maoni inayoungwa Mkono na Wananchi ya Serikali tatu na aliipigania sana na ambayo inaungwa Mkono na UKAWA. Ni ajabu sana kuona anaegemeza matusi na hoja dhaifu kwa Mgombea Urais wa UKAWA ambaye anatetea Katiba aliyoipigania.
Tumpuuze kwa kuwa in dhahiri kuwa anatumika na Ccm.

Edited by,
pg.

Kwanza tangu lini huyu jamaa amekuwa na Lafudhi kama ya Mwalimu Nyerere? huu ni upuuzi ulipitiliza mipaka... ZIRO kabisa
 
jana niliona hii kitu star tv
ni aina fulani ya kampeni za CCM
'actually' ilinichefua na kuharibu pilau yangu ya jpili.
 
Polepole anataka kutuambia hata elimu bure eti haiwezekani,huyu mtu ni mjinga kiasi gan?km kuna ufisadi mkubwa unaofikia trilion 18 kw mwka,ukijumlisha misamaha ya kodi,ukwepaji wa kodi,wizi km escrow n.k pesa zote hzo zikidhibitiwa,utashindwaje kutoa elim bure?anawaambia watz eti elimu bure haiwezekani ni uzalilishaji.Huu ni ujinga wa polepole,unaweza ukawa msomi lkn ukabaki na ujinga.
Ikiwa ufisadi huu ni kweli nimechukua hiyo trln 18 nikaigawa kwa kipindi cha miaka 10 ya uraisi wa JK kila mwaka tungeweza kudhibiti Trln1.8 Ebu nipe mgawanyo wa hii 1.8t kwa kupata Elimu ya bure kuanzia std 1 to unvsty!
 
jana niliona hii kitu star tv
ni aina fulani ya kampeni za CCM
'actually' ilinichefua na kuharibu pilau yangu ya jpili.

Mkuu nzalendo,uzalendo wako upo wapi,polepole tuliuona uzalendo wake wakati wa katiba,leo mnasema kanunuliwa tukumbuke wakati ule marehemu komba aliposema mzee warioba ni shiiida aende huko ujana wake hakusumbuliwa alikuwa anakula,aache na sisi tule,hawezi kutuletea hapa kila kilichosemwa na wananchi,huo ni ushahidi tosha wa wabunge wa ccm walivyokuwa wanakula hela ya lowasa
 
Unajua ccm haijawapa watu elimu maana wanajua kufanya hivyo wananchi wangejitambua mapema.....yaani mkuu wa kaya kutumia trilion 5 kuzunguka anga hilo ni sawa na linawezekanika lakini wajebane ili kutoa elimu bure hilo haliwezekaniki???...

huwezi kuniambia kila kitu cha maendeleo hakiwezekaniki angalia huduma za afya(hakuna dawa mahospitalini, vifaa tiba ni tatizo), elimu duni basi hata madawati kama hamuwezi wasomesha bure??, umeme ni tatizo, gharama za maisha zipo juu yaani hilo ndo tatizo hasaaa.... ccm mnachoweza ni kununua mashangingi, kulipana mishahara hewa, kupakia twiga kwenye ndege,kubeba pesa kwa malumbesa na masandarusi(escrow),kupiga kelele za ndiooooo bungeni ect hayo ndo mnayaweza.......!!!!
 
Nilivyoona tu mdahalo umehamia Star Tv nikajua kuna jambo si la kawaida linaendelea, siku hizi akina Jaji Warioba wamesahau machungu ya kupigwa na wahuni akina Makonda wakisimamia misingi lakini kwa vile mwanae anagombea Ubunge ameamua hata kuzika yale aliyoyasimamia kwenye rasimu ya katiba, naye kahamia Star Tv, domokaya wa CCM Mzee Makamba yeye anatukana tu, nadhani pamoja na kujifanya anaipenda sana CCM, lakini bado ana machungu ya mwanae kukatwa kwenye mbio za urais.
 
Unajua ccm haijawapa watu elimu maana wanajua kufanya hivyo wananchi wangejitambua mapema.....yaani mkuu wa kaya kutumia trilion 5 kuzunguka anga hilo ni sawa na linawezekanika lakini wajebane ili kutoa elimu bure hilo haliwezekaniki???...

huwezi kuniambia kila kitu cha maendeleo hakiwezekaniki angalia huduma za afya(hakuna dawa mahospitalini, vifaa tiba ni tatizo), elimu duni basi hata madawati kama hamuwezi wasomesha bure??, umeme ni tatizo, gharama za maisha zipo juu yaani hilo ndo tatizo hasaaa.... ccm mnachoweza ni kununua mashangingi, kulipana mishahara hewa, kupakia twiga kwenye ndege,kubeba pesa kwa malumbesa na masandarusi(escrow),kupiga kelele za ndiooooo bungeni ect hayo ndo mnayaweza.......!!!!
Nashukuru kwa malezo mazuri amboyo nayafahamu... lakini hujanijibu hoja! kunipa kwako mchangao kutatuasaidia wengi.
 
Mandondocha ya ccm yanamuamini tu polepole kama vile hawakuwepo nchini wakati wa mchakato wa katiba mpya. Maoni ya katiba ya wananchi yalikataliwa na wabunge wa ccm na ndio walioipitisha hiyo katiba pendekezwa, sasa leo hii mtu anaongea kwamba lowasa ndio aliyepinga maoni ya katiba ya wananchi. Misukule ya ccm hebu jiulizeni na muulizeni huyo polepole anadai eti walienda kumuomba lowasa akakata! Kwa nini walienda kumuomba lowasa na lowasa alikuwa kama nani wakati huo mpaka yeye aombwe?
 
jana niliona hii kitu star tv
ni aina fulani ya kampeni za CCM
'actually' ilinichefua na kuharibu pilau yangu ya jpili.

Pole mwaya. Next time zima tv na redio ufaidi vema mlo wako.
 
Mkuu nzalendo,uzalendo wako upo wapi,polepole tuliuona uzalendo wake wakati wa katiba,leo mnasema kanunuliwa tukumbuke wakati ule marehemu komba aliposema mzee warioba ni shiiida aende huko ujana wake hakusumbuliwa alikuwa anakula,aache na sisi tule,hawezi kutuletea hapa kila kilichosemwa na wananchi,huo ni ushahidi tosha wa wabunge wa ccm walivyokuwa wanakula hela ya lowasa

So JK nae alikula hela ya lowassa ? Makonda nae alikula hela ya Lowassa ? sitta nae alikula hela ya Lowassa ???
Polepole anajichanganya haaminiki tena
 
Ufuasi mzigo kweli .....acheni ushabiki ....Pole pole katoa tuhuma kwa ushahidi halisi wa masikio yake mwenyewe .....mwambieni bwana mkubwa akanushe sio nyinyi kugeuka midomo yake wakati hamjui zaidi ya kuungaunga doti kwa kubahatisha .....

Ni kweli mkuu. ila wewe ufuasi wako kwa polepole ndio mzigo. polepole anadi walienda kumuomba lowasa akubali maoni ya katiba ya wananchi eti lowasa kakataa! Muulize polepole walienda kumuomba lowasa kwa sababu gani? Na lowasa alikuwa kama nani mpaka wao wakamuombe? Na kwa nini hakusema hayo muda wote?
Anachokifanya hapo polepole ni kuidhalilisha serikali ana maana kwamba lowasa ndiye mwenye mamlaka ya mwisho hapa Tanzania
 
Back
Top Bottom