Anza kujiuliza wewe binafsi kwamba hivi unamtumikia nani ndio ufuate kumuuliza polepole,hakuna mwana UKAWA ambaye aliwahi kubali ufisadi wa lowasa,leo mnamtumikia nani hata mmuone anafaa,mlizunguka tanzania nzima kutuaminisha kwamba lowasa hafai ni mwizi na fisadi then leo mnamshangaa Polepole ambaye hajabadili msimamo wake kumpinga Lowasa.
Kabla kusema polepole kahongwa kumkashifu Lowawasa unatakiwa utumwambie,na wakati ule mwembe yanga Slaa,tundulisu,mbowe na wengineo walihongwa na nani?