Hivi ww unakunywa oxygen?Naombeni mnisaidie kuhusu samaki,hivi wanakunywa maji kweli??
Hapana, wanakunywa maji uongo.Naombeni mnisaidie kuhusu samaki,hivi wanakunywa maji kweli??
Samaki wa maji chumvi ''hunywa'' maji kwa kutumia mapezi (gills, sijui kama nimepatia kwa kiswahili) .Mapezi yavuta maji na kuchuja chumvi. Samaki wa maji baridi ''wanafyoza'' kwa kutumia ''ngozi'' yao na pia mapezi .Naombeni mnisaidie kuhusu samaki,hivi wanakunywa maji kweli??
Wanakunywa kama kawaidaNaombeni mnisaidie kuhusu samaki,hivi wanakunywa maji kweli??
Huwa hawanywi maji ispokuwa huyapitisha mdomoni na kuyatolea kwenye matamvua ili kuvuta hewa ya oksijeni iliyoyeyuka kwenye majiNaombeni mnisaidie kuhusu samaki,hivi wanakunywa maji kweli??
Wacha uongo bhana.... tangu lini samaki wanakunywa viroba??Wanakunywaga viroba
Hivi bangi ambayo wenzetu wanatumia kama tiba ndo hii hii ya kwetu!?