haa mym
JF-Expert Member
- Jul 7, 2014
- 4,857
- 4,656
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanakunywa chai.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanakunywa chai.
Mungu wangu kumbeee[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Hivi samaki wanakojoa?
Kama ndio basi ndio maana baharini kuna chumvi sana na pia ndio maana ziwani na mabwawani kuna kichocho sana samaki wanatuambukiza
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji574] [emoji574] [emoji574] [emoji574]Samaki wanywe vipi maji, kaka Ray ndio anakunywa maji.
Wanaogelea kwenye majiNaombeni mnisaidie kuhusu samaki,hivi wanakunywa maji kweli??
HahahaaaaHivi bangi ambayo wenzetu wanatumia kama tiba ndo hii hii ya kwetu!?
Mkuu samaki huoga tena kwa sabuni na wakimaliza hujifuta vizuri kwa taulo.Mm nauliza eti samaki wanaoga
wanakunywa Jack Daniel tenessee honeyNaombeni mnisaidie kuhusu samaki,hivi wanakunywa maji kweli??