Swali: Hivi hawa MER Telecom Tanzania wapo wapi?

Swali: Hivi hawa MER Telecom Tanzania wapo wapi?

Good Will

New Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
3
Reaction score
0
Habari wana Jamvi, Ningependa kufahamishwa zilipo ofisi za kampuni ya MER Telecommunication Tanzania kwa hapa Dar es Salaam coz naona nimejaribu kutafuta bila mafanikio kwa muda mrefu.
Ahsanteni
 
Wapo maeneo ya mikocheni migombani street, walikua mwenge kama unaenda koka kola wakahama
 
Utaweza biashara na wa Israel, jamaa amekaa kishari shari, kila contractor lazima utokee mtafaruku unaochangiwa na waajiliwa wawili wazoefu wa pale.

kama unataka fika ofisini kwao, wapo migombani street, kama unatokea moroco, ukifika zantel unakunja kushoto kuja kutokea kairuki, kabla hujafika kairuki utakutana na kibao mkono wa kushoto.
 
Back
Top Bottom