Swali hili mjiulize wapiga makofi

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,699
149,927
Kama aliyoyasema mh.fulani kule Mjengoni kuhusu RC fulani ni ya kweli,mh.sana mwenye nafasi ya kupewa kila taarifa alikuwa hayajui?

Maswali ya nyongeza:

Kama alikuwa anayajua,mbona alikaa kimya?

Wakati anaunda kikosi kazi chake alisema alitumia muda mrefu ili apate kikosi kizuri na kilicho safi,kama hiyo ni kweli,katika kuteu hawa wengine hilo hakuzingatia?

Wanasesere wanahitaji muda kujua wanachezewa na kudanganywa.
 
Kama aliyoyasema mh.fulani kule Mjengoni kuhusu RC fulani ni ya kweli,mh.sana mwenye nafasi ya kupewa kila taarifa alikuwa hayajui?

Maswali ya nyongeza:

Kama alikuwa anayajua,mbona alikaa kimya?

Wakati anaunda kikosi kazi chake alisema alitumia muda mrefu ili apate kikosi kizuri na kilicho safi,kama hiyo ni kweli,katika kuteu hawa wengine hilo hakuzingatia?

Wanasesere wanahitaji muda kujua wanachezewa.
Mbona unaleta taarifa nusu nusu, hayo yaliyosemwa mjengoni ni yapi au unadhani wote walikua wanafatilia? Tafadhali weka na hayo maneno yaliyosemwa mjengoni ili twende sawa wote
 
Mkuu Salary slip hebu amka kwanza vizuri ikibidi uoge unywe na chai kabisa.

Halafu urudi kuhakiki bandiko lako tukuelewe vizuri.
 
Kama aliyoyasema mh.fulani kule Mjengoni kuhusu RC fulani ni ya kweli,mh.sana mwenye nafasi ya kupewa kila taarifa alikuwa hayajui?

Maswali ya nyongeza:

Kama alikuwa anayajua,mbona alikaa kimya?

Wakati anaunda kikosi kazi chake alisema alitumia muda mrefu ili apate kikosi kizuri na kilicho safi,kama hiyo ni kweli,katika kuteu hawa wengine hilo hakuzingatia?

Wanasesere wanahitaji muda kujua wanachezewa.

Hata mwanasesere anaweza akajiona yeye ni mtu na watu wa ukweli akawaona wanasesere, yeye anavyochezewa akadhani eti yeye ndio anatenda!
 
Back
Top Bottom