Swali gumu

Nitalia kwa sauti kuu!!!

Maana PARAPANDA itakuwa imeshalia na wateule wamenyakuliwa!!!
 
Nitalia kwa sauti kuu!!!

Maana PARAPANDA itakuwa imeshalia na wateule wamenyakuliwa!!!

Du PARAPANDA, huwa najiuliza kila mtu anaparapanda yake pale anapokufa au itakuja siku moja, siku ya KIAMA ambapo ndipo PARAPANDA itapigwa?
 
Utakapofungua dirisha, kile utakachoona ndo nje, taratibu zingine zitaendelea
 
Mkuu Red Scorpion, kuna uwezekano mkubwa (bila kujijua) utakuwa uko nje unachungulia ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…