DC
You are the best, next time nitakustua!
About kuzini, bado fafanua.
Nilivyokuwa A-level, nilitongozwa na mseminari mmoja hivi (shule yetu ilikuwa Jirani nao)
Nikamwambia kuwa unataka tuzini? Tuvunje Amri ya Sita?
Akaniuliza 'umeolewa?' nikasema no
Akaendelea, 'mimi nimeoa?' nikasema sidhani
Akasema 'hapo tutazini vipi?'
I was speechless kwa muda.
Years later when doing my confession, nilivyosema nimezini mara..... LOL, Fr, akaniuliza the same question; (nafikiri it was for the sake of councilling). Nikaja kumuuliza Mlokole mmoja; akasema if you are not married, unafanya uasherati na si kuzini!
So hapa bado mahitaji ufafanuzi!
nikaongea na mdada mmoja wa kilokole
You could be right pia. Kuzini: committing adultery, Kufanya uasherati: fornicating.
Ila siku hizi naona born again christians (hasa wenyewe) wanasema if you have sex with somebody, kama hamjaoana, na hamna nia ya kuoana, tayari umezini sababu huyo ni mke wa mtu 'to be' , na mwanaume ni mume wa mtu 'to be'. kama hapo wewe Kaunga (I suppose you are not married) ukikutana na mwanaume ambae hajaoa na hana nia ya kukuoa wewe, umesha cheat on your husband to be, so it is adultery. Binafsi naona it is too complicated. Dhambi ni dhambi tu, why create dhambi in anticipation? Sijui ukweli ni upi ila kwa mtazamo wangu Anae zini ni yule anae tembea na spouse wa mtu, au anae toka nje ya ndoa. Wengine wanafanya uasherati.
Sawa kabisa!!
Ila burden wanazobeba ni tofauti...Yaani mwizi na msaidizi wake hawawezi kubeba mzigo ule ule, na tena mwizi wa kutoteza uaminifu!
Babu DC!!
Hahahahahahahah,
Ndugu yangu ukiamua kunyambua haya mambo lazima utaishia mbali zaidi........
Vinginevyo mtu anaweza pia kutembea na marehemu mtarajiwa!!
Babu DC!!
RR and DC
Asanteni sana kwa michango yenu!
I like hiyo ya kumcheat mume to be. Jana Husninyo alisema yeye anajicheat mwenyewe; nami as a Catholic nafundishwa kuwa mwili wangu ni hekalu la Roho Mtakatifu, so even before thinking of mume to be; namcheat Holy Spirit!
RR and DC
Asanteni sana kwa michango yenu!
I like hiyo ya kumcheat mume to be. Jana Husninyo alisema yeye anajicheat mwenyewe; nami as a Catholic nafundishwa kuwa mwili wangu ni hekalu la Roho Mtakatifu, so even before thinking of mume to be; namcheat Holy Spirit!
Eeewaaaa! Nina hakika kabisa wewe umeelewa vyema kabisa. Ni kweli kabisa wote hawatabeba lawama zinazolingana na kama kuna adhabu basi wote hawatapewa adhabu inayofanana.
Nina mfano hai mmoja wa mauaji ya mtu maarufu huku nilipo. Jamaa aliporwa na vibaka watatu na akapigwa risasi akafa. Hizo risasi hakupigwa na wote watatu. Aliyempiga alikuwa mmoja.
Baada ya kumpiga risasi wakaingia kwenye gari yao wakatimua. Aliyeendesha gari hakuwa ni yule aliyempiga risasi. Baadae wakaja wakakamatwa na kila mmoja akafunguliwa mashitaka lakini yule aliyefyatua risasi zilizomuua ndiyo alipewa adhabu kubwa zaidi kuliko wale wawili ingawa nao waliadhabiwa ila kulingana na ushiriki na makosa yao na adhabu zao hazikuwa sawa na ya yule mfyatua risasi.
Lakini si kwamba waliachiwa huru kwa kuwa wao hawakuwa ndiyo waliofyatua risasi zilizomuua jamaa.
Pole pole DC
I am not clean as you think! I am trying though.
Hahahaha, Kipipi mambo? are you well? Umemzoma Kaunga? nimecheka hata nashindwa kuchangia. hahahahahammmhh....Kaunga!
Ila yule anayefanya uasherati na mume/mke wa mtu wakati yeye ni bachela hana mtu anayemkosea zaidi ya kutenda dhambi yeye mwenyewe na kumwingiza kwenye dhambi huyo mtu wanayefanya naye ufuska!
mmmhh....Kaunga!
Hahahaha, Kipipi mambo? are you well? Umemzoma Kaunga? nimecheka hata nashindwa kuchangia. hahahahaha
Kicandy mbona unaguna? LOL
Nimekumiss pia, I was not in, nilikua naingia mara chache, kujibu PM tu na kutoka. But nimerudi sasa. 🙂Nimemsoma ndugu yangu, yaani leo my sister Kaunga ananifanya nisibanduke kwenye huu uzi ( nimempenda though)!! Btw, mie mzima kabisa mpendwa wangu......vipi wewe? Dah.....nimekumiss Roulette, hatujameet siku nyingi kidogo!
kicandy leo umemfurahisha sana, that you have the fear of Lord (God)!!
Kwa hiyo hapo huoni kwamba yeye huyo mtu ambaye yuko singo na kwa makusudi analala na mume ama mke wa mtu, kwa kufanya kwake hivyo anakuwa hamkosei mwenza wa huyo mwenzake aliye na ndoa?
Sijui kama nimeeleweka hapo. Ngoja nitoe mfano wa mimi na wewe na tafadhali usichukulie personal. Ni katika kueleweshana tu.
Mimi najua wewe una mke. Inatokea mimi na mkeo tunaanza affair. Sawa, mkeo atakuwa anakusaliti wewe na ndoa yenu. Lakini huoni na mimi pia nitakuwa nakukosea wewe kwa namna moja ama nyingine kwa sababu najua fika kuwa huyo ni mkeo lakini sijali hilo, naamua kutembea naye huku nikijijua fika kabisa ni mkeo?
Hapo nitakuwa sikukosei? Natambua kuwa aliyeweka nadhiri ya uaminifu kwako ni mkeo, lakini mimi kwa kushirikiana naye kuivunja nadhiri hiyo nitakuwa sijakukosea?