Swali gumu. . . . . . .!!

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,712
Hivi kucheat na kuzini vina maana moja?Tafadhali naomba ufafanue utakaposema ndio au hapana!
 
Hapana haviko sawa..,

unaweza kucheat bila kuzini..., (kumpa mtu kitu ambacho kwa kawaida its meant only to be given to your partner, e.g. romance, kisses n.k. )...

Na unaweza Kuzini bila kucheat... (Kuzini mara nyingi inahusika na dini, kwamba huwezi kufanya tendo la ndoa na mtu yoyote bila kuwa kwenye ndoa)

Hivyo basi ni mambo mawili tofauti ambayo moja linaweza likatendeka bila lingine
 
Kucheat ni kudanganya/kusema uongo
Kuzini ni kufanya mapenzi nje ya ndoa

Exactely. Ndio maana wengine kama kina Faiza Foxy wanacheka mtu akisema she/he wants his/her fiancee to be faithful. Kwake yeye (na kwa dini ya kikristo na ya kiislam) so long as you are not married,if you have sex mnazini tu.
Pia mnaweza kua boyfriend and girlfriend (mnao zini au msio zini) na mkawa faithful au unfaithful. hapo ndipo suala la kucheat linakuja.
 
Namnukuu Mnyama Hatari kwenye sredi moja jana, nikiikumbuka ntaku-update.

Zini kwa kizungu ni adultreous ambayo ni cheating.
 
Kucheat ni kudanganya kwenye mapenzi kwa watu walio mapenzi. Kwamba kucheat kunajumuisha uzinzi na uasherati. Kuzini ni kumega nje ya NDOA. Kwa kifupi kuzini kunahusisha wanandoa wakati kucheat haijalishi wenye ndoa au wachumba au bf vs gf. Nyosha mkono juu kama hujaelewa.
 
Sijakuelewa kabisa,kuzini ni kufanya ngono nje ya mahusiano/ndoa,cheating je?
 
eiyer angalia post za Mnyama Hatari kwenye sredi ya All Men cheat, agree or Disagree.

Siwezi angalia page, mchina wangu haruhusu
 
@Russian....
Ni kweli kabisa...
Elyer ajue kifupi kuwa cheating ni kwa walio nje ya ndoa na walio ndani ya ndoa wanazini
Na kuzini kunajumuisha kucheat...
 
Sijakuelewa kabisa,kuzini ni kufanya ngono nje ya mahusiano/ndoa,cheating je?
We dogo bana. Unaweza kuwa na gelofrendi wako rasmi au tuseme mchumba. Ukammega mwingine si ndo umemcheat? Hapo hujazini kwakuwa hujawahi kula kiapo cha ndoa.
Umeelewa sasa?
 
Exactely. Ndio maana wengine kama kina Faiza Foxy wanacheka mtu akisema she/he wants his/her fiancee to be faithful. Kwake yeye (na kwa dini ya kikristo na ya kiislam) so long as you are not married,if you have sex mnazini tu.
Pia mnaweza kua boyfriend and girlfriend (mnao zini au msio zini) na mkawa faithful au unfaithful. hapo ndipo suala la kucheat linakuja.

Mh!Kuna ukakasi hapa,sijajua kama nimekuelewa!
 
@Russian....
Ni kweli kabisa...
Elyer ajue kifupi kuwa cheating ni kwa walio nje ya ndoa na walio ndani ya ndoa wanazini
Na kuzini kunajumuisha kucheat...
Thread klozd.
Kijana sogea pande hii nikuvurumishie bia nyingi za baridi.
 
We dogo bana. Unaweza kuwa na gelofrendi wako rasmi au tuseme mchumba. Ukammega mwingine si ndo umemcheat? Hapo hujazini kwakuwa hujawahi kula kiapo cha ndoa.
Umeelewa sasa?

Whaaat?Hujazinii?How?
 
So where is your point here?

I am trying to differetiate the two kama haufahamu, I cant help you. Kuzini si sawa na kucheat.....

Mtu hawezi kuwa anazini na mkewe au mumewe in relagious terms coz you have harmony union that binds you. Lakini anaweza kuwa anacheat kwa mkewe/mumewe/gf/bg as long as you have committed yourself to one person hata kama hakuna ndoa, tendo la wewe kuna na extra affairs inahesabika kucheat.
 
We dogo bana. Unaweza kuwa na gelofrendi wako rasmi au tuseme mchumba. Ukammega mwingine si ndo umemcheat? Hapo hujazini kwakuwa hujawahi kula kiapo cha ndoa.
Umeelewa sasa?

Duuh rudi mafundisho bwana
 
@Russian....
Ni kweli kabisa...
Elyer ajue kifupi kuwa cheating ni kwa walio nje ya ndoa na walio ndani ya ndoa wanazini
Na kuzini kunajumuisha kucheat...

So kwa mujibu wako ni kuwa,same action different label?
 
Back
Top Bottom