Bonnie1974
JF-Expert Member
- Mar 19, 2008
- 407
- 17
Naomba tubrainstorm kidogo.Mi ushauri wangu ni kwamba huyo jamaa aichukue uamuzi wa kumuacha kwani kitendo cha huyo dada kumwambia siri nzito hivyo inamaanisha kwamba amemuanini sana...! Tena hichi ndio kipindi amabcho huyo dada anamuhitaji sana huyo mpenzi wake kwani ni mtu wa pekee aliyeweza kumshirikisha kwenye siri hii kubwa na ya pekee...!
Anachoweza kufanya ni kuwa nae zaidi na kwa ukaribu na ikibidi washirikiane ili waweze kumwambia mama yake au ikibidi wampeleke huyo baba polisi kwani hio ni INCEST na ni kinyume cha sheria...! Tena hio ni kubaka kabisa...! Huyo mzee naweza akapigwa jela maisha yote...!
Du! Jamaa nilimshauri kwanza atulie ili akili yake irudi kwanza maana inaoneka alikuwa anaamini kuwa binti ni bikra nae alihitaji sana kuoa bikra. Ni binti mstaarabu sana ambaye huwezi kudhania amefanyiwa kitendo kama hicho.[\QUOTE]
Na je jamaa alikuwa na mapenzi makali na binti kwa kuwa alikuwa anatumaini kwamba binti ni Bikra na si vinginevyo? Kama ndio basi anatafuta kupigwa!!!
She needs him...asije sababisha mengine.
Anahofia jinamizi gani litakalomfata yeye? watu wanoa watu walioachika au hata waliofiwa hawafatwi na majinamizi itakuwa yeye ambaye anaelewa kabisa kwamba huyo binti alikuwa abused for all those years? wanaume wengine sometimes siwaelewi, huyo huyo atakutana na mwingine keshamegwa hadi kachoka na atamdangaya yeye ni ni wa pili tu ataamini.
The girl is innocent, kajaribu kutoa kitu kinachomuumiza kabisa kwake akijua anamuamini, pls mshauri mwenzio asimtose huyo msichana, italeta madhara makubwa coz ataweza kuwachukia men for life au hata kujidhuru kwa kuona hathaminiki tena.
Kitu cha msingi huyo jamaa awe nguzo ya kumuongoza huyo dada hadi wamwambie mama mtu na pia waweke mtego ili huyo baba akamatwe ikiwa anamfanyia pia mdogo wake kama alivyosema anasuspect ili ushahidi wa kumshtaki uwepo, wasipotibu haya maradhi mzee ataharibu watoto wake wote na kama kuna wa kiume pia unaweza kuta anamlamba pia, it has to stop, wakiendelea kuficha siri watavuna mabua.
Na huyo jamaa anayejifanya lengo lake ni kuoa bikra na ndicho kigezo anachotumia kutaka kumtosa huyo binti, je yeye ni bikra pia? au ye keshaharibu sana sasa anataka pure.
thanks
Mambo vipi wana mahusiano?
Kuna swali moja gumu kweli nimekutana nalo. Jama ana mpenzi ambaye amebakwa na baba yake kwa miaka miatano mfululizo! Demu alikuwa hajarevil kwa jamaa kwa muda mrefu ila alikuwa ana kama jinamizi hivi kila akikumbuka, jamaa kambembeleza amwambie shida yake demu akamwambia: "Nikikuambia bado utanipenda?" Jamaa akajibu kama kawa kwamba mimi na wewe hakuna wa kututenganisha! DEMU AKAMAWBIA NIAPIE! Jamaa kaapa kwa lugha na kwa miungu yote anyoijua. Ndipo demu kamfunulia! " Tangu nikiwa na umri wa miaka 14 baba alikuwa akinibaka, alinitisha kwamba siku nikimwambia mama tu ataniuwa. Ni mpaka nilipofikisha umri wa miaka 19 yaani mwaka jana na nadhani amehamia kwa mdogo wangu ingawa sina uhakika"
Any way, it is a long story, jamaa kaja kuniomba ushauri....Vipi amwache wakati keshaapa?
ANATAKA BIKIRA YEYE BIKIRA?
kimsingi umuhimu wa ubikira ni uhakikisho wa kuhijeshimu na kujitunza, mengine ni mameno tu ya mtaani.
kuliko abaki nae kwa huruma bora muache.
Hayuko psychologically fit, bora ulivyomwambia asubiri atulie, huku tulioko manungaembe tu.
bora huyo mara elfu.
Halafu mwambia katika mwenzi wa maisha ubikira wa kufungiwa ndani ya geti haina maana, manake wakiolewa tu wanaanza kutembea na madereva na houseboy.
heshima ya mtu anayo rohoni mwake ndio sababu nikakuambia hapo juu, aangalie strength of character ya huyo dada. Ni mstahimilivu.
Naomba tubrainstorm kidogo.
(Angalizo:Mimi si muumini wa nyumba ndogo)
Wazee wengine wanasema kuwa Nyumba ndogo au kuwa na mke zaidi ya mmoja, IS BETTER TOOL ya kupambana na AIBU kama hii ya kutembea na binti zako au dada zako?
Bonnie umenikumbusha mbali sana- wakati niko chuo kuna theory tuliambiwa kuwa inasema umuhimu wa nyumba ndogo na vyangudoa katika kumaintain society- Kama nakumbuka ilikuwa inaitwa Dtructural Functionalism Theory. Inawezekana kuna ukweli hapa.
Kwani:
1.Kutokana na MATATIZO ndani ya nyumba wakati mwingine MAMA " anakupa likizo" , wakati wewe unamtegemea yeye tu.in other words WEWE NI MWAMINIFU.
ila kuna wengine tabia kama hii ni hulka na haichangiwi na upewaji wa likizo- Kuna wale ambao hupewa kama dozi kutwa mara tatu but still they go out to look for other tastes...... Inawezekana na huyu naye ni mmoja wapo - haiwezekani kwa miaka mitano yote hiyo network na mkewe ziwe chenga tu
2.Sisi binadamu kunabelong kwenye ANIMAL kingdom.Wakati mwingine usipotumia tool hii vizuri ya kuwa na nyumba ndogo UNAWEZA UNAADHIRIKA kama hiyo aibu aliyopata huyo baba.
3.Kuna theory kwamba kuzini na mama,baba,dada au kaka wa kuzaliwa ni laana na mwiko hilo linajulikana.Mwiko unaisha pale tu unapoanza kwa MARA YA KWANZA aidha kwa ulevi au matizo mengine yanayofanana na hayo.THEN KAMCHEZO HAKO KABAYA KANAANZA.
4.Kuwepo nyumbani muda mwingi na kukaa bila kazi pale nyumbani ni mwanzo wa kumwangalia mama,baba,mwanao kama MWANAMKE au MWANAUME anayevutia.
Naomba tujadili hili kama watu wazima.Aliloleta mwenzetu IS A CASE WHICH NEED TO BE STUDIED.
TUNAKILA SABABU YA KUMLAANI HUYO BABA.LAKINI JE,TUNAJIFUNZA NINI?
SISI SOTE TU WASAFIRI.
Mkuu heshima mbele,Huyu baba atakuwa alizidi bwana. ingawa nasikia siku hizi is the game of the day kwani imekuwa kawaida kusikia mume katembea na shemeji yake wakati zamanio shemeji yako akija kuishi kwako ni sawa na mwanao.
Halafu wewe hujatulia,hakuna ubakwaji wa miaka mitano muda wa ubakaji ni siku kadhaa baada ya hapo wote wanafurahia tendo hilo. wengi hasa sisi waafrika tunaanzana mapenzi kwa kubakana baadaye inakuwa mazoea kila mmoja anammisi mwenzake
Jinamizi ndio nini??sijaelewa, lakini Pia huyo jamaa yako anataka kuoa bikra nayeye hajawahi kucheza huo mchezo au anajishebedua tu?Du! Jamaa nilimshauri kwanza atulie ili akili yake irudi kwanza maana inaoneka alikuwa anaamini kuwa binti ni bikra nae alihitaji sana kuoa bikra. Ni binti mstaarabu sana ambaye huwezi kudhania amefanyiwa kitendo kama hicho.Sababu hasa inayo mfanya afikiri kumwacha ni yeye kuhofia kukutwa na jinamizi pia! Anaona huruma lakini anahofia jinamizi. Anahisi itafika wakati babu atakuwa haamki!!!!