Dah! Huwa linanikata sana. Swali fulani la kichawi sana"Siku hzi unapiga mishe gani?
Uboo?🤣🤣🤣😂... Fala sana wewe jamaaniki ambiwa let me see your mjegejo.
🤣Umesha chukua kadi ya ccm?, aisee naweza pasua mtu.
Imagine you're just chilling, halafu uambiwe hivyo lazima uwe pissed kidogo 😂Uboo?🤣🤣🤣😂... Fala sana wewe jamaa
Noma sana🤣🤣🤣Imagine you're just chilling, halafu uambiwe hivyo lazima uwe pissed kidogo 😂
Sana ... Ukijaribu kumtathimini mtu wa aina hiyo ni type ya wale wenye low iqWe dini gani
We kabila gani
Hayo maswali yananiuzigi.
Ya rangi gani my🤣
Mission ImpossibleSiku hzi unapiga mishe gani
Kwenye ArdhiSiku hizi upo wapi
29 FebruaryUtaoa lini?
ExperimentUnafanya nini siku hizi?
JKTUko wapi?