Ukiona jambo CCM wanasifia kuwa makini nalo snUsichanganye mambo asee kuna chadema na watanzania machadema yote ndio hayataki huo muungano rejea alicho kisema mgombea wao was urais ila sisi watanzania tunawatakia maisha mema kwenye SUK yenu
Maneno kama Watanganyika, Wazanzibar, Wamarekani, Waingereza Wazungu, Waafrika ni miamvuli mikubwa inayoficha tofauti nyingi za watu wanaowekwa pamoja katika miamvuli hiyo.Hii Imekuwa siku zote Watanganyika walio ndani ya Zanzibar na nje hukereka sana wanapoona Wazanzibar wakiungana.
Tuliliona hilo mwaka 2000 wakati Rais wa Zanzibar A. Karume alipata upinzani mkubwa kuanzisha GNU toka kwa Watanganyika walio visiwani lakini hatimaye akaweza kuanzisha serikali hiyo, kabla kuja kuvurugwa na Jeshi la Tanganyika lililokataa kumkabidhi Rais mteule aliyeshinda uchaguzi.
Sasa hivi baada Rais wa Zanzibar kuonesha nia ya kuwaunganisha tena Wazanzibar, kimetokea zogo tena lakini si ndani ya Zanzibar bali ya wale walio Tanganyika wakipinga Umoja huu. Tatizo ni nini?
Kumbukeni Watanganyika kwamba Wazanzibar ndio tunaodhurika na kuuawa kila baada ya chaguzi na hayo mnaoyafanya ni nyinyi.
Hongera Dr. Mwinyi
Hongera Maalim
Hongera Wazanzibar
Hongera GNU
Zanzibar ya amani inawezekana
Watanganyika tuacheni tupumue
FactManeno kama Watanganyika, Wazanzibar, Wamarekani, Waingereza Wazungu, Waafrika ni miamvuli mikubwa inayoficha tofauti nyingi za watu wanaowekwa pamoja katika miamvuli hiyo.
Ukiwalundika pamoja watu chini ya miamvuli hii, bila kunyumbulisha zaidi, unaonesha ujinga wako na huwafanyii haki watu hao.
Hili mosi.
La pili.
Mtanganyika ni nani na Mzanzibari ni nani?
Abedi Amani Karume aliyezaliwa Malawi kupitia Tanganyika, na kulowea Zanzibar ni Mmalawi, Mtanganyika au Mzanzibari?
Ali Hassan Mwinyi aliyezaliwa Kisarawe ni Mzanzibari au Mtanganyika?
Wale Wanyamwezi waliolowea Zanzibar kina Omar Mapuri ni Wazanzibari au Watanganyika?
Watoto wa Wapemba waliozaliwa Dar esalaam ni Wazanzibar au Watanganyika?
Uzanzibar ni nini? Ni uraia au kabila? Kamq.ninurqia unapatikanaje? Kuna pasipoti ya Zanzibar? Kuna uraia wa Zanzibar? Kuna kabila la Zanzibar?
Utanganyika ni nini? Ni uraia? Wa nchi gani? Ni kabila? Kuna pasipoti ya Tanganyika? Kuna uraia wa Tanganyika? Kuna kabila la Tanganyika?
LISU NDIO LOSER MKUBWA KWENYE UCHAGUZI MKUU MWENZIE SEIF HUYO ANAKULA BATA NA BENZI ZA IKULU NA SALUTI KIBAO TOKA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA HUKU KAZUNGUKWA NA MA BODY GUARD KIBAOTena kama Tundu Lissu kaumia sana kwa kweli.
Hujui kitu tuliaHii Imekuwa siku zote Watanganyika walio ndani ya Zanzibar na nje hukereka sana wanapoona Wazanzibar wakiungana.
Tuliliona hilo mwaka 2000 wakati Rais wa Zanzibar A. Karume alipata upinzani mkubwa kuanzisha GNU toka kwa Watanganyika walio visiwani lakini hatimaye akaweza kuanzisha serikali hiyo, kabla kuja kuvurugwa na Jeshi la Tanganyika lililokataa kumkabidhi Rais mteule aliyeshinda uchaguzi.
Sasa hivi baada Rais wa Zanzibar kuonesha nia ya kuwaunganisha tena Wazanzibar, kimetokea zogo tena lakini si ndani ya Zanzibar bali ya wale walio Tanganyika wakipinga Umoja huu. Tatizo ni nini?
Kumbukeni Watanganyika kwamba Wazanzibar ndio tunaodhurika na kuuawa kila baada ya chaguzi na hayo mnaoyafanya ni nyinyi.
Hongera Dr. Mwinyi
Hongera Maalim
Hongera Wazanzibar
Hongera GNU
Zanzibar ya amani inawezekana
Watanganyika tuacheni tupumue
Akikujibu kiungwana mkuu naomba nistueManeno kama Watanganyika, Wazanzibar, Wamarekani, Waingereza Wazungu, Waafrika ni miamvuli mikubwa inayoficha tofauti nyingi za watu wanaowekwa pamoja katika miamvuli hiyo.
Ukiwalundika pamoja watu chini ya miamvuli hii, bila kunyumbulisha zaidi, unaonesha ujinga wako na huwafanyii haki watu hao.
Hili mosi.
La pili.
Mtanganyika ni nani na Mzanzibari ni nani?
Abedi Amani Karume aliyezaliwa Malawi kupitia Tanganyika, na kulowea Zanzibar ni Mmalawi, Mtanganyika au Mzanzibari?
Ali Hassan Mwinyi aliyezaliwa Kisarawe ni Mzanzibari au Mtanganyika?
Wale Wanyamwezi waliolowea Zanzibar kina Omar Mapuri ni Wazanzibari au Watanganyika?
Watoto wa Wapemba waliozaliwa Dar esalaam ni Wazanzibar au Watanganyika?
Uzanzibar ni nini? Ni uraia au kabila? Kamq.ninurqia unapatikanaje? Kuna pasipoti ya Zanzibar? Kuna uraia wa Zanzibar? Kuna kabila la Zanzibar?
Utanganyika ni nini? Ni uraia? Wa nchi gani? Ni kabila? Kuna pasipoti ya Tanganyika? Kuna uraia wa Tanganyika? Kuna kabila la Tanganyika?
Haahaa leo Hussein mwinyi kawa mzanzibar halis kisa babu seif kapata ugaliWazanzibar wapi wameungana Mwinyi si mulisema ni Mtanganyika au leo mshampa uraia kwakua ameungana na seif
Hii Imekuwa siku zote Watanganyika walio ndani ya Zanzibar na nje hukereka sana wanapoona Wazanzibar wakiungana.
Tuliliona hilo mwaka 2000 wakati Rais wa Zanzibar A. Karume alipata upinzani mkubwa kuanzisha GNU toka kwa Watanganyika walio visiwani lakini hatimaye akaweza kuanzisha serikali hiyo, kabla kuja kuvurugwa na Jeshi la Tanganyika lililokataa kumkabidhi Rais mteule aliyeshinda uchaguzi.
Sasa hivi baada Rais wa Zanzibar kuonesha nia ya kuwaunganisha tena Wazanzibar, kimetokea zogo tena lakini si ndani ya Zanzibar bali ya wale walio Tanganyika wakipinga Umoja huu. Tatizo ni nini?
Kumbukeni Watanganyika kwamba Wazanzibar ndio tunaodhurika na kuuawa kila baada ya chaguzi na hayo mnaoyafanya ni nyinyi.
Hongera Dr. Mwinyi
Hongera Maalim
Hongera Wazanzibar
Hongera GNU
Zanzibar ya amani inawezekana
Watanganyika tuacheni tupumue
Elimu kubwa.Maneno kama Watanganyika, Wazanzibar, Wamarekani, Waingereza Wazungu, Waafrika ni miamvuli mikubwa inayoficha tofauti nyingi za watu wanaowekwa pamoja katika miamvuli hiyo.
Ukiwalundika pamoja watu chini ya miamvuli hii, bila kunyumbulisha zaidi, unaonesha ujinga wako na huwafanyii haki watu hao.
Hili mosi.
La pili.
Mtanganyika ni nani na Mzanzibari ni nani?
Abedi Amani Karume aliyezaliwa Malawi kupitia Tanganyika, na kulowea Zanzibar ni Mmalawi, Mtanganyika au Mzanzibari?
Ali Hassan Mwinyi aliyezaliwa Kisarawe ni Mzanzibari au Mtanganyika?
Wale Wanyamwezi waliolowea Zanzibar kina Omar Mapuri ni Wazanzibari au Watanganyika?
Watoto wa Wapemba waliozaliwa Dar esalaam ni Wazanzibar au Watanganyika?
Uzanzibar ni nini? Ni uraia au kabila? Kama .ni uraia unapatikanaje? Kuna pasipoti ya Zanzibar? Kuna uraia wa Zanzibar? Kuna kabila la Uzanzibari?
Utanganyika ni nini? Ni uraia? Wa nchi gani? Ni kabila? Kuna pasipoti ya Tanganyika? Kuna uraia wa Tanganyika? Kuna kabila la Tanganyika?
Kama lengo lilikuwa kula bata kwwnye mabenzi yenye bendera za kiserikali, inawezekana Lissu akawa loser.LISU NDIO LOSER MKUBWA KWENYE UCHAGUZI MKUU MWENZIE SEIF HUYO ANAKULA BATA NA BENZI ZA IKULU NA SALUTI KIBAO TOKA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA HUKU KAZUNGUKWA NA MA BODY GUARD KIBAO
Walioumia sana serikali ya umoja wa kitaifa ni CHADEMA HASA