dega
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 3,138
- 3,022
Hii Imekuwa siku zote Watanganyika walio ndani ya Zanzibar na nje hukereka sana wanapoona Wazanzibar wakiungana.
Tuliliona hilo mwaka 2000 wakati Rais wa Zanzibar A. Karume alipata upinzani mkubwa kuanzisha GNU toka kwa Watanganyika walio visiwani lakini hatimaye akaweza kuanzisha serikali hiyo, kabla kuja kuvurugwa na Jeshi la Tanganyika lililokataa kumkabidhi Rais mteule aliyeshinda uchaguzi.
Sasa hivi baada Rais wa Zanzibar kuonesha nia ya kuwaunganisha tena Wazanzibar, kimetokea zogo tena lakini si ndani ya Zanzibar bali ya wale walio Tanganyika wakipinga Umoja huu. Tatizo ni nini?
Kumbukeni Watanganyika kwamba Wazanzibar ndio tunaodhurika na kuuawa kila baada ya chaguzi na hayo mnaoyafanya ni nyinyi.
Hongera Dr. Mwinyi
Hongera Maalim
Hongera Wazanzibar
Hongera GNU
Zanzibar ya amani inawezekana
Watanganyika tuacheni tupumue