Swali fikirishi: Kwanini Watanganyika wanaumia sana Wazanzibar wanapoungana?

Hii Imekuwa siku zote Watanganyika walio ndani ya Zanzibar na nje hukereka sana wanapoona Wazanzibar wakiungana.

Tuliliona hilo mwaka 2000 wakati Rais wa Zanzibar A. Karume alipata upinzani mkubwa kuanzisha GNU toka kwa Watanganyika walio visiwani lakini hatimaye akaweza kuanzisha serikali hiyo, kabla kuja kuvurugwa na Jeshi la Tanganyika lililokataa kumkabidhi Rais mteule aliyeshinda uchaguzi.

Sasa hivi baada Rais wa Zanzibar kuonesha nia ya kuwaunganisha tena Wazanzibar, kimetokea zogo tena lakini si ndani ya Zanzibar bali ya wale walio Tanganyika wakipinga Umoja huu. Tatizo ni nini?

Kumbukeni Watanganyika kwamba Wazanzibar ndio tunaodhurika na kuuawa kila baada ya chaguzi na hayo mnaoyafanya ni nyinyi.

Hongera Dr Mwinyi

Hongera Maalim

Hongera Wazanzibar

Hongera GNU

Zanzibar ya amani inawezekana

Watanganyika tuacheni tupumue
Hayo ni yako wewe

Anayeumia ni wewe ambae hujui usimamie wapi; kabla na wakati wa kampeni uliipinga CCM, ulimpinga Mwinyi, na baada ya kutangazwa matokeo uliyapinga, ila leo umejumuika nayo
 
Maneno kama Watanganyika, Wazanzibar, Wamarekani, Waingereza Wazungu, Waafrika ni miamvuli mikubwa inayoficha tofauti nyingi za watu wanaowekwa pamoja katika miamvuli hiyo.

Ukiwalundika pamoja watu chini ya miamvuli hii, bila kunyumbulisha zaidi, unaonesha ujinga wako na huwafanyii haki watu hao.

Hili mosi.

La pili.

Mtanganyika ni nani na Mzanzibari ni nani?

Abedi Amani Karume aliyezaliwa Malawi kupitia Tanganyika, na kulowea Zanzibar ni Mmalawi, Mtanganyika au Mzanzibari?

Ali Hassan Mwinyi aliyezaliwa Kisarawe ni Mzanzibari au Mtanganyika?

Wale Wanyamwezi waliolowea Zanzibar kina Omar Mapuri ni Wazanzibari au Watanganyika?

Watoto wa Wapemba waliozaliwa Dar esalaam ni Wazanzibar au Watanganyika?

Uzanzibar ni nini? Ni uraia au kabila? Kama .ni uraia unapatikanaje? Kuna pasipoti ya Zanzibar? Kuna uraia wa Zanzibar? Kuna kabila la Uzanzibari?

Utanganyika ni nini? Ni uraia? Wa nchi gani? Ni kabila? Kuna pasipoti ya Tanganyika? Kuna uraia wa Tanganyika? Kuna kabila la Tanganyika?
Tanzania yenye serikali moja ndio dawa ya huo upupu 'wa sisi wazanzibar wao watanganyika'
 
Hii Imekuwa siku zote Watanganyika walio ndani ya Zanzibar na nje hukereka sana wanapoona Wazanzibar wakiungana.

Tuliliona hilo mwaka 2000 wakati Rais wa Zanzibar A. Karume alipata upinzani mkubwa kuanzisha GNU toka kwa Watanganyika walio visiwani lakini hatimaye akaweza kuanzisha serikali hiyo, kabla kuja kuvurugwa na Jeshi la Tanganyika lililokataa kumkabidhi Rais mteule aliyeshinda uchaguzi.

Sasa hivi baada Rais wa Zanzibar kuonesha nia ya kuwaunganisha tena Wazanzibar, kimetokea zogo tena lakini si ndani ya Zanzibar bali ya wale walio Tanganyika wakipinga Umoja huu. Tatizo ni nini?

Kumbukeni Watanganyika kwamba Wazanzibar ndio tunaodhurika na kuuawa kila baada ya chaguzi na hayo mnaoyafanya ni nyinyi.

Hongera Dr. Mwinyi

Hongera Maalim

Hongera Wazanzibar

Hongera GNU

Zanzibar ya amani inawezekana

Watanganyika tuacheni tupumue
Na mbaya zaidi wanaokereka zaidi ni wapinzani hasa Chadema.
 
Wanaoumia ni CDM , wao ni kama wakala wa shetani, chochote chema kwa Tz kwao sio kizuri, CDM kwa sasa ni kama wana laana, hakuna watakalofanikiwa kwa vile wanavijiba vya roho dhidi ya chochote kizuri Tz.
Hahaha kumbe ujui wanaoumia wewe?!
Wanaoumia ni ccm, kuona wameshinda wao lakini wanaopewa kipaumbele ni walioshindwa.

Mliwapiga ACT leo hii wanalindwa hamuwagusi, mnawabembeleza kwa pesa na vyeo wajiunge tu kwenye serikali dhalim.

Huku kina Halima Mdee sijui wana lala ikulu maana wanalindwa kuliko hata JPM, sasa uvcc a.k.a JESHI LA AKIBA wamebaki vinywa wazi hata hawaelewi nini kinaendelea.
 
Hii Imekuwa siku zote Watanganyika walio ndani ya Zanzibar na nje hukereka sana wanapoona Wazanzibar wakiungana.

Tuliliona hilo mwaka 2000 wakati Rais wa Zanzibar A. Karume alipata upinzani mkubwa kuanzisha GNU toka kwa Watanganyika walio visiwani lakini hatimaye akaweza kuanzisha serikali hiyo, kabla kuja kuvurugwa na Jeshi la Tanganyika lililokataa kumkabidhi Rais mteule aliyeshinda uchaguzi.

Sasa hivi baada Rais wa Zanzibar kuonesha nia ya kuwaunganisha tena Wazanzibar, kimetokea zogo tena lakini si ndani ya Zanzibar bali ya wale walio Tanganyika wakipinga Umoja huu. Tatizo ni nini?

Kumbukeni Watanganyika kwamba Wazanzibar ndio tunaodhurika na kuuawa kila baada ya chaguzi na hayo mnaoyafanya ni nyinyi.

Hongera Dr. Mwinyi

Hongera Maalim

Hongera Wazanzibar

Hongera GNU

Zanzibar ya amani inawezekana

Watanganyika tuacheni tupumue
Sio Watanganyika mkuu, sema ni hawa chadema wa Tanganyika! Sie watanganyika tunaenzi mapinduzi matukufu ya Zanzibar kwa jasho na damu
 
LISU NDIO LOSER MKUBWA KWENYE UCHAGUZI MKUU MWENZIE SEIF HUYO ANAKULA BATA NA BENZI ZA IKULU NA SALUTI KIBAO TOKA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA HUKU KAZUNGUKWA NA MA BODY GUARD KIBAO

Walioumia sana serikali ya umoja wa kitaifa ni CHADEMA HASA
Usimfananishe Lissu na wachumia tumbo.
 
Maneno kama Watanganyika, Wazanzibar, Wamarekani, Waingereza Wazungu, Waafrika ni miamvuli mikubwa inayoficha tofauti nyingi za watu wanaowekwa pamoja katika miamvuli hiyo.

Ukiwalundika pamoja watu chini ya miamvuli hii, bila kunyumbulisha zaidi, unaonesha ujinga wako na huwafanyii haki watu hao.

Hili mosi.

La pili.

Mtanganyika ni nani na Mzanzibari ni nani?

Abedi Amani Karume aliyezaliwa Malawi kupitia Tanganyika, na kulowea Zanzibar ni Mmalawi, Mtanganyika au Mzanzibari?

Ali Hassan Mwinyi aliyezaliwa Kisarawe ni Mzanzibari au Mtanganyika?

Wale Wanyamwezi waliolowea Zanzibar kina Omar Mapuri ni Wazanzibari au Watanganyika?

Watoto wa Wapemba waliozaliwa Dar esalaam ni Wazanzibar au Watanganyika?

Uzanzibar ni nini? Ni uraia au kabila? Kama .ni uraia unapatikanaje? Kuna pasipoti ya Zanzibar? Kuna uraia wa Zanzibar? Kuna kabila la Uzanzibari?

Utanganyika ni nini? Ni uraia? Wa nchi gani? Ni kabila? Kuna pasipoti ya Tanganyika? Kuna uraia wa Tanganyika? Kuna kabila la Tanganyika?
Tanganyika ni nchi ya Africa mashariki iĺio pata uhuru wake 9 December 1961.na kuwa taifa huru
Ilipata uanachama wa umoja mataifa 14 December 1961.
Watanganyika ni raiya wa taifa wa nchi hiyo ambayo leo inasherehekea miaka 59 tangu kuwa huru. Nani anaamini tanganyika haipo, leo tumepunzika majumbani kusherekea tanganyika kuwa huru.
Ilana kwa sasa imejificha kwenye kivuli cha muungano ili kuikoloni Zanzibar.
 
Tukisheherekea siku ya kuzaliwa ya Julius Kambarage Nyerere, hilo linamaanisha JK Nyerere yupo mzima anaishi?

Mbona umejibu Tanganyika tu?

Maswali mengine hujayaona au hujui kusoma vizuri?
 
Hii Imekuwa siku zote Watanganyika walio ndani ya Zanzibar na nje hukereka sana wanapoona Wazanzibar wakiungana.

Tuliliona hilo mwaka 2000 wakati Rais wa Zanzibar A. Karume alipata upinzani mkubwa kuanzisha GNU toka kwa Watanganyika walio visiwani lakini hatimaye akaweza kuanzisha serikali hiyo, kabla kuja kuvurugwa na Jeshi la Tanganyika lililokataa kumkabidhi Rais mteule aliyeshinda uchaguzi.

Sasa hivi baada Rais wa Zanzibar kuonesha nia ya kuwaunganisha tena Wazanzibar, kimetokea zogo tena lakini si ndani ya Zanzibar bali ya wale walio Tanganyika wakipinga Umoja huu. Tatizo ni nini?

Kumbukeni Watanganyika kwamba Wazanzibar ndio tunaodhurika na kuuawa kila baada ya chaguzi na hayo mnaoyafanya ni nyinyi.

Hongera Dr. Mwinyi

Hongera Maalim

Hongera Wazanzibar

Hongera GNU

Zanzibar ya amani inawezekana

Watanganyika tuacheni tupumue
Yaani mi ndo kwanza nasikia upuuzi huu
 
Tukisheherekea siku ya kuzaliwa ya Julius Kambarage Nyerere, hilo linamaanisha JK Nyerere yupo mzima anaishi?

Mbona umejibu Tanganyika tu?

Maswali mengine hujayaona au hujui kusoma vizuri?
Nchi ya Yugoslavia haipo ndio maana husikii ikisherekea uhuru tena. au USSR unasikia kuna sherehe yake. haipo.
Mzanzibari
20201209_102735.jpg

Umemuona mzanzibar.
Project ya kuimeza Zanzibar ishabumaa
Wana ASP washakataa. sikwambii kinase Jusa
Tanganyika ipo.
 
Nchi ya Yugoslavia haipo ndio maana husikii ikisherekea uhuru tena. au USSR unasikia kuna sherehe yake. haipo.
Mzanzibari View attachment 1645315
Umemuona mzanzibar.
Project ya kuimeza Zanzibar ishabumaa
Wana ASP washakataa. sikwambii kinase Jusa
Tanganyika ipo.
Nimekuuliza, tukisherehekea siku ya kuzaliwa ya JK Nyerere, hilo linamaanisha JK Nyerere yupo?

Hujajibu.

Nimekuuliza Mzanzibari ni nani?

Hujajibu.
 
Back
Top Bottom