KunjyGroup
JF-Expert Member
- Dec 7, 2009
- 352
- 26
unashangaa nini matokeo kupinduliwa?Mosi, Chama chenyewe ni cha MAPINDUZI, kwa hiyo kupindua matokeo si jambo la ajabu.Pili, Viongozi wake wote wa juu ni WanajeshiMwenyekiti: Luteni Kanali Jakaya KikweteKatibu Mkuu: Luteni Yusuf MakambaNaibu Katibu Mkuu: Kapteni George MkuchikaKatibu wa Itikadi/Uenezi: Kapteni john ChiligatiMeneja Kampeni: Kanali Abdulrahaman KinanaTatu, Gazeti la Serikali, Daily News ambalo editor in Chief ni Rais, limeshasema: Dk. Slaa hatakuwa rais wa tano wa TanzaniaNne: Tamko la Luteni Jenerali Shimbo linajieleza: "Wagombea wakubali matokeo, la sivyo..."Tano: Katiba ya nchi/ sheria ya uchaguzi iko wazi: Matokeo ya urais yakishatangazwa, hakuna chombo chochote kinachoweza kuyapinga.
*
Sasa mnashangaa nini eti mnajidanganya bila kujua kuwa nchi hii ni ya utawala wa kijeshi.
*
Haya nendeni mkapige kura kutimiza haki yenu ya kikatiba, narudia tena kutimiza haki yenu ya kikatiba.Nawasilisha
.unashangaa nini matokeo kupinduliwa?Mosi, Chama chenyewe ni cha MAPINDUZI, kwa hiyo kupindua matokeo si jambo la ajabu.Pili, Viongozi wake wote wa juu ni WanajeshiMwenyekiti: Luteni Kanali Jakaya KikweteKatibu Mkuu: Luteni Yusuf MakambaNaibu Katibu Mkuu: Kapteni George MkuchikaKatibu wa Itikadi/Uenezi: Kapteni john ChiligatiMeneja Kampeni: Kanali Abdulrahaman KinanaTatu, Gazeti la Serikali, Daily News ambalo editor in Chief ni Rais, limeshasema: Dk. Slaa hatakuwa rais wa tano wa TanzaniaNne: Tamko la Luteni Jenerali Shimbo linajieleza: "Wagombea wakubali matokeo, la sivyo..."Tano: Katiba ya nchi/ sheria ya uchaguzi iko wazi: Matokeo ya urais yakishatangazwa, hakuna chombo chochote kinachoweza kuyapinga.
*
Sasa mnashangaa nini eti mnajidanganya bila kujua kuwa nchi hii ni ya utawala wa kijeshi.
*
Haya nendeni mkapige kura kutimiza haki yenu ya kikatiba, narudia tena kutimiza haki yenu ya kikatiba.Nawasilisha
pumba tupu...
pumba tupu...