Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,546
Uongozi huwezi si bora uachie ngazi uwape wanaoweza
wewe uliona wapi gamba likajivua na kujivaa tena gamba?
wapishe wana cdm tushike nafasi hapo
Wewe njegele unaleta politiki za kisiasa hapa..!? we subiri, ukianza kula udongo wa pemba na ndimu akili itakukaa sawa..