SWALI:....Baba V=Mama V.....????

SWALI:....Baba V=Mama V.....????

jamani huyu baba V na mama V mbona wanaandamwa sn

Mti wenye matunda huu. Kuna watu wameshindwa kudumu kwenye ndoa zao, kuona ndoa yangu imetulia wameanza kupiga majungu... itakula kwao..
 
Sidhani kama Invisible anafanya kazi kwa majungu na mashinikizo.. Atachunguza akijiridhisha atachukua hatua. Ila ujiangalie wewe sasa huwa huchelewi kuhama jukwaa..

Hahaha
Sijawahi hama jukwaa zaidi ya kujipa likizo...ila kwa hili lazma utakuwa umetoa rushwa uachiwe
 
Last edited by a moderator:
Mti wenye matunda huu. Kuna watu wameshindwa kudumu kwenye ndoa zao, kuona ndoa yangu imetulia wameanza kupiga majungu... itakula kwao..

mbona lakini ubavu wako hatujibu chochote au we ndo msemaji mkuu?
 
huwezi fanya hivyo hata kwa gobole, hata ukimwambia baba
yangu huwezi kitu kwani alipoamkia yeye mm mwanae nimeinukia
una lingine la kusema? au hasira za mkizi nafuu kwa mchukuzi hizo?
utajijuuuuu!!!!

Umeniita nani???? Nilishasema na watu8 nikamwambia, lazima nikugawie ujauzito
 
Uongozi huwezi si bora uachie ngazi uwape wanaoweza
wewe uliona wapi gamba likajivua na kujivaa tena gamba?
wapishe wana cdm tushike nafasi hapo

Back
Top Bottom