Swahili Radio Tehran: Boko-haram limeundwa na wamagharibi

makafiri ni wewe baba yako na mama yako. na mtume wako wa kishetani mud.pumbafuu!! mm sipend kweli huu utumbo wako hapo.
Mkuu, baada ya kurudia kuisoma tena post yako unadhani umetumia busara kama tunazofundishwa makanisani?
 
Kiongozi wa jamii ya Waislamu wa Kishia nchini Nigeria Ibrahim Zakzaky amesema kuwa, kundi la Boko Haram limeundwa

na kufadhiliwa na nchi za Magharibi kwa lengo la kufunika njama za Wamagharibi katika kupora utajiri wa Nigeria. Zakzaky
ameeleza kuwa, suala la kupambana na Boko Haram halipo, bali kwa hakika operesheni hiyo inatekelezwa na nchi za

Magharibi kwa lengo la kufunika uporaji utajiri wa Nigeria kwa kisingizio cha kuwasaka wafuasi wa kundi hilo. Pia

sambamba na kuashiria mabadiliko ya hivi karibuni kaskazini mwa Nigeria na wimbi la mashambulizi ya Boko Haram

kwenye eneo hilo, kiongozi huyo wa jamii ya Mashia nchini Nigeria amesema, suala hilo linashabihina na operseheni

zilizofanywa na nchi za Magharibi huko Iraq na Afghanistan, kwani madola ya Magharibi yamefahamu kuna utajiri

mkubwa wa dhahabu na platinum nchini Nigeria.


Wakati huo huo Ibrahim Zakizaky amekosoa ukandamizwaji wa wafuasia wake unaofanywa na maafisa wa usalama wa

Nigeria kwa kisingizio cha kuimarisha usalama na kusema kuwa, hakuna sheria inayoruhusu watu kutiwa mbaroni bila

kuhukumiwa.


Inafaa kushiria hapa kuwa, karibu Wanigeria milioni 6 ni wafuasi wa madhehebu ya Kiislamu ya Shia, ambao wengi wao

wanaishi kwenye maeneo ya kaskazini mwa nchi hiyo ya Kano, Sokoto na Kaduna

ni zaidi ya ukweli,western ni watu wabaya sana,sema watu hawajui.wanataka kuweka africom ndo choko zote hizi
westgate na sasa nigeria
 
hivi nigeria kaskazini kuna utajiri gani? boko haram wameaibisha dini kwa hiyo mmeamua kuwakataa...atatokea mwingine atasema boko haram ni wayahudi...
 
Back
Top Bottom