Swahili Radio Tehran: Boko-haram limeundwa na wamagharibi

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,551
2,000
Kiongozi wa jamii ya Waislamu wa Kishia nchini Nigeria Ibrahim Zakzaky amesema kuwa, kundi la Boko Haram limeundwa

na kufadhiliwa na nchi za Magharibi kwa lengo la kufunika njama za Wamagharibi katika kupora utajiri wa Nigeria. Zakzaky
ameeleza kuwa, suala la kupambana na Boko Haram halipo, bali kwa hakika operesheni hiyo inatekelezwa na nchi za

Magharibi kwa lengo la kufunika uporaji utajiri wa Nigeria kwa kisingizio cha kuwasaka wafuasi wa kundi hilo. Pia

sambamba na kuashiria mabadiliko ya hivi karibuni kaskazini mwa Nigeria na wimbi la mashambulizi ya Boko Haram

kwenye eneo hilo, kiongozi huyo wa jamii ya Mashia nchini Nigeria amesema, suala hilo linashabihina na operseheni

zilizofanywa na nchi za Magharibi huko Iraq na Afghanistan, kwani madola ya Magharibi yamefahamu kuna utajiri

mkubwa wa dhahabu na platinum nchini Nigeria.

Wakati huo huo Ibrahim Zakizaky amekosoa ukandamizwaji wa wafuasia wake unaofanywa na maafisa wa usalama wa

Nigeria kwa kisingizio cha kuimarisha usalama na kusema kuwa, hakuna sheria inayoruhusu watu kutiwa mbaroni bila

kuhukumiwa.

Inafaa kushiria hapa kuwa, karibu Wanigeria milioni 6 ni wafuasi wa madhehebu ya Kiislamu ya Shia, ambao wengi wao

wanaishi kwenye maeneo ya kaskazini mwa nchi hiyo ya Kano, Sokoto na Kaduna
 
primking

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
647
225

ukwel uko wap sasa?mbna kila mtu anasema lake???
 
2013

JF-Expert Member
Jan 1, 2013
11,331
2,000
Pengine neno wamagharibi linatafsiri tofauti.cjui kwanini watu wako radhi kuropoka mbele ya jumuiya ya kimataifa.
 
JustDoItNow

JF-Expert Member
Dec 3, 2013
2,878
2,000
Nimekua nikiwaonya jamani, ili kutengeneza nchi yenye nguvu na makini sisi kama waafrica/wabongo suala la dini lisitutenganishe. Tupeane facts bila kuweka udini wetu. Tutagawanyika na hawa jamaa watatuibia mali zetu jamani. Please!
 
antibalaka

JF-Expert Member
Jan 6, 2014
273
225
Nimekua nikiwaonya jamani, ili kutengeneza nchi yenye nguvu na makini sisi kama waafrica/wabongo suala la dini lisitutenganishe. Tupeane facts bila kuweka udini wetu. Tutagawanyika na hawa jamaa watatuibia mali zetu jamani. Please!

na wanajua waislamu ni dhaifu sana kwenye kufikiri na kutafakari ndio maana wanawatumia wao.hawana roho ya uvumilivu si unaona huku bongo cd na ust.illunga kapingu zinasisitiza waislamu wawaue wakristu tena anatoa na aya,kwenye Quran.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom