Swahili Music Quotes

Swahili Music Quotes

hii inaweza kua na tafsiri zaidi ya moja, mimi niliitafsiri hivi kwanza; kuna skendo zimekua zinavuma kuhusu wanamitindo wakiume, wengi wao wakituhumiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja, yaani ushoga, sasa utashangaa hapo ukimuona Martin Kadinda (kasimamisha); maana ya pili inaweza kua huu ushabiki wa sikuhizi wa mitandaoni na watu kufwatilia sana mastaa, sasa usije ukaachwa/kupitwa na maswala ya msingi kwa kushabikia mastaa; nilisema inaweza ikawa na maana zaidi ya moja, we umeitafsiri vipi sijui
Nadhani Tafsri ya kwanza kwangu ndio naiona sahihi.
Big up br!

Kizazi cha Sasa wanataka kokoro/sangolo,akili zao zimeganda mda wote wanataka full shangwe nyimbo hii ni hatari.
 
Naungana kidogo na Dominic Myumbilwa maaana ya mstari "mjinga utaacha unashangaa kumuona martin kadinda" ina maana bongo kuna vituu vingi vya msingi vya Kufanya na kina martin kadinda ni moja kati ya watuu wanaoangaliwaa hivo baasi kama wew ni mjinga utabaki kushangaa tuuu mambo ya martin na kutokufanya vitu vya msingi
 
7a489f99cc43fb3c160fb4add8824b7d.jpg
 
Oi oh oh hip hop base enzi hizo nakiangalia eatv, jamaa alikuwa anajua
 
zangu mimi ni kung'arisha moka
napendaga makiki kama msanii...


NIMESHAONYWA SANA NA BABA ASKOFU
NIMESHAOMBEWA SANA NA KILA PAROKIA

VITUMBUA VINANIJUA BINGWA LA KUTIA MCHANGA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom