Swahili Music Quotes

Swahili Music Quotes

ff5bc950cbe0195247f3f4610b1f6471.jpg
 
Nyumbani nasikiliza dunia ya sasa Marijani
Najiuliza tutarithi nini ikiwa imani ishakwisha tangu zaman
 
Hapo Sijaelewa embu nieleweshe mzee
hii inaweza kua na tafsiri zaidi ya moja, mimi niliitafsiri hivi kwanza; kuna skendo zimekua zinavuma kuhusu wanamitindo wakiume, wengi wao wakituhumiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja, yaani ushoga, sasa utashangaa hapo ukimuona Martin Kadinda (kasimamisha); maana ya pili inaweza kua huu ushabiki wa sikuhizi wa mitandaoni na watu kufwatilia sana mastaa, sasa usije ukaachwa/kupitwa na maswala ya msingi kwa kushabikia mastaa; nilisema inaweza ikawa na maana zaidi ya moja, we umeitafsiri vipi sijui
 
Pamoja Mkuu,
Bila shaka utakuwa mdau wa muziki fikirishi.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom