Huu uzi ungekuja kwa hicho kiSwahili ingekuwa na mantiki zaidi, maana zaidi, ingewakilisha unachotaka kukieleza kwa upana zaidi.
Vinginevyo nahisi utakuwa ni wale wale wanaofikiri kiSwahili 'hakijitoshelezi'. Kuniumbua tasfiri na ulete uzi huu ukiwa kwa kiSwahili.
Nimejaribu kutafsiri kwa kutumia Google. Matokeo yake ni kama yafuatavyo:Huu uzi ungekuja kwa hicho kiSwahili ingekuwa na mantiki zaidi, maana zaidi, ingewakilisha unachotaka kukieleza kwa upana zaidi.
Vinginevyo nahisi utakuwa ni wale wale wanaofikiri kiSwahili 'hakijitoshelezi'. Kuniumbua tasfiri na ulete uzi huu ukiwa kwa kiSwahili.
Nimejaribu kutafsiri kwa kutumia Google. Matokeo yake ni kama yafuatavyo:
Kuna dhana ya kwamba Kiswahili ilikopa baadhi ya masharti au maneno za kigeni. ukweli ni lugha za kigeni hasa zilikopa kutoka kwa kiswahili.
Jambo moja kwa hakika, asilimia 100 za sarufi ya Kiswahili ni lugha za kiafirika
Pili lugha ya kwanza kuandikwa au kuzungumzwa katika dunia hii ni lugha za kiafrika mfano, semitic.usije ukandangaywa kuwa Semitic ni lugha ya bara Asia ya Wakanaani, Phoenicians au Waebrania au hata waarabu.
Semitic asili yake ni Afrika na cha muhimu, inazugumzwa katika Afrika mashariki, Ethiopia, Somalia, Kenya, Tanzania na Sudan,
Watu wa kush, yaani wa ethiopia ,sudan na Somalia bado mpaka leo wanazugumza lugha hii
kwa sababu ya wageni na biashara sehemu ya kusini afrika, wabantu waliweza kutengeza lugha ya kisasa katika lugha zao ili waweze kuwa na uwezo wa kukabiliana na wageni. na hapo ndipo kiswahili kilivumbiliwa
kwa mfano neno salaam ina asili ya kiafirika ..inatumiwa na waamharic, waswahili, waarabu. hata wayahudi
Hivyo lugha ya Kiswahili , masharti ya matumizi yake yametoa maneno kutoka lugha nyingine za waAfrika na hazikukopa kutoka kwaa kiHindu au Kiarabu.
Ndugu zangu / dada zangu mtashangaa mkijua kwamba Kiarabu asili yake ni bara afrika,si kama vile mlivyodagnywa asili ya kiaarabu ni huko arabuni(middle east)lakini hiyo ni mada ya siku nyingine
Swahili uses words like Mahakama which is Mahkma in arabic, Shilingi which is Schilling in German, Ijumaa which is aljumaa, Alfajiri which is the same in Arabic so which swahili did not borrows foreign languages words?
now that where you are wrong,if you read my post,the origin of arabic/hebrew is semitic language,the first written and spoken language in this earth,with the originality in eastern Africa.so if semitic was spoken in eastern africa ,thousand years ago before arabic was formulated .tell me who borrowed from who
Historia ya Kiswahili imeanza takriban miaka 1000 iliyopita kwenye pwani la Afrika ya Mashariki.
Neno Swahili ni neno la asili ya Kiarabu Sahil lenye maana ya pwani; sawahil as-sawāhilī (السواحلي😉 ni wingi wake kwa kumaanisha yote yanayohusiana na pwani, watu au utamaduni wa eneo la pwani.
hehehe.. Amir, taratibu kwanza!
endelea .. kusoma hapa Historia ya Kiswahili - Wikipedia, kamusi elezo huru alafu rudi jipange njoo na hoja mpya kwa kiswahili.. maneno ya kizungu ya kiwa mengi yannichosha kuyasoma.. tehethe
now that where you are wrong,if you read my post,the origin of arabic/hebrew is semitic language,the first written and spoken language in this earth,with the originality in eastern Africa.so if semitic was spoken in eastern africa ,thousand years ago before arabic was formulated .tell me who borrowed from who
makosa kubwa ni hatujui historia yetu sisi waafrika,historia zetu zimefanywa kuandikwa na wazungu,unakuta mambo mengi tunadagywa ili wao wazungukaji wajinufaishe na kuwapotosha waafrika haswa kizazi kitachofuata.
Kiswahili kilikuwepo hata kabla ya hao waaarabu kuja(lakini kumbuka asili ya mwarabu ni afrika ndo maana kiarabu kinazugumwa afrika kuliko popote duniani)
ukweli ni kuwa ukieenda hata congo utakuta wanasema kiswahili aina fulani hivi,sio mwarabu alipeleka kiswahili humo.kiswahili kilikuwa tangu jadi,na waafrika walikuwa wanakiongeo.maana ni lugha asili yake afrika mashariki.
kiswahili ni lugha mchanginiko wa lugha za kiafrika ndo maana unaweza kuelewa lugha nyingi afrika kwa uchache.mbili au tatu hivi ndo lugha za kigeni.
dah ... sawa mkuu! shujaa wewe... me i will stick on wikipedia ...
P.S - naona hoja zako hujazipanga vizuri.. ulianza na kiswahili hakija tohoa maneno kutoka kwenye lugha nyingine.. but kwa kukusaidia... kiswahili hakijaletwa na muarabu.. wala mzungu! bali kiswahili ni kibantu!! bantu ni lugha za makabila mbalimbali yanayopatika east na central afrika! ... ili kujikimu na kuwa lugha ya kibiashara kiswahili ilibidi kitohoe maneno mengi kutoka lugha za kigeni... mdau alishakupa mfano rejea post # 8.
utajiuliza kwanini maneno mengi ya kiarabu ndiyo yametawala .. simply bcz ndugu zetu hawa ndio walikuwa maarufu kwa biashara ya utumwa... na ndio maana unaambiwa kiswahili standard based in unguja! The Swahili: reconstructing the ... - Google Books .
Inshort kiswahili ni kibantu si kiarabu.. but kiswahili tumetohoa maneno mengi toka lugha nyingine...
haswa mimi kuandika hii thread ni kwa vile nimesoma baadhi ya post hapo ikisemakana sijui kiswahili kiimekopa wapi na wapi.mimi nasititiza kiswahili hakijakapo bali lugha zingine za kigenini ndo zimekopa maneno mengi ya kiswahili,kama kiarabu na khindi zimefanya kukopa kwa kiswahili,sio kama ulivyfunzwa na wikipedia au sijui google.ushanipata.
hapo kweli kiswahili especially grammar is pure bantu.na sarufi ndo zinazo tengeza lugha.lakini the mother of all semitic languages in lugha za afrika mashariki,amharic,kiswahili,tigrinya na zingenezo
baadaye am out for now i will continue later
maneno mengine ya kiarabu ni:Hakuna lugha kubwa yoyote ambayo haijayohoa.
Hilo neno lenyewe Swahili limetoka katika kiarabu "Suahel" maana yake 'wa pwani"
Mtu yeyote anayejua Kiarabu atakuambia huwezi kutumia Kiswahili kwa muda mrefu bila kutumia maneno yaliyotoka katika kiarabu, mifano michache ni mwalimu, sheria, wilaya, hakimu etc.
Hii hogwash umetoa wapi?
Hebu soma hapa Swahili history
Marastamen wakishavuta bange wanasema kila kitu kimetoka Africa!