Swagga za Obama baada ya kushinda

Swagga za Obama baada ya kushinda

Kenya watatangaza siku ya mapumnziko kusherekea ushindi.
 
PICHA KWA HISANI KUBWA YA Mbuzi Mzee:cheer2:
522302_528680667160717_1051111551_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
Hizo ndio nchi za wenzetu bana,ccm wamechelewesha maendeleo,tunataka tume huru na daftar la mpigakura sio biashara ya kusubir matokeo mwez mzima na mpaka wapigakura wadai matokeo kwa kuimba nyimbo zote mpaka zinaisha wapigakura wanaanza kuimba matus,hakuna kula kulala wala kenda choo ukipindua tu polisi akakimbia na maboks hiviii.bora ulimwengu wa 3 mgombea urais yuko bich anapigiwa cm na mpinzani wake kamanda umenishinda
 
Back
Top Bottom