Swagga za Obama baada ya kushinda

Swagga za Obama baada ya kushinda

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,985
Reaction score
168,501
154368_4910443883364_2032941373_n.jpg

Obama akiongea kwa pozi baada ya kupokea simu ya pongezi kutoka kwa mshindani wa Mitt Romney
 
I am swaggin'.. too bad for you Mitt!​
 
Obama, hongera zako mkuu, nasikia kijijini kwenu umepeleka barabara ya lami, umeme na maji.
 
Ushindi wa OBAMA ni meseji tosha kwa wanazi na wabaguzi
 
Kikwete asipate mwaliko jamani wa kwenda kuapishwa ndugu Obama, maana atautumia muda huo kujaza photo album yake
 
Jaluo nashinda tena, big up

  • :cheer2:
 
Back
Top Bottom