Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Sep 27, 2012 Thread starter #21 hengo said: Hapana boss mm si afande wala sijakasilika,ila nashindwa kuelewa mazingira yaliyokuwezesha kusikia maneno yote hayo wanavyotongoza jamaa zetu Click to expand... Mkuu hengo, hili ni jukwaa la utani na udaku sehemu ya kupunguzia stress za kule kwenye siasa na za maisha. Usichukulie kila kinachowekwa humu ni kweli kimetokea, labda kama hujui maana ya utani. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
hengo said: Hapana boss mm si afande wala sijakasilika,ila nashindwa kuelewa mazingira yaliyokuwezesha kusikia maneno yote hayo wanavyotongoza jamaa zetu Click to expand... Mkuu hengo, hili ni jukwaa la utani na udaku sehemu ya kupunguzia stress za kule kwenye siasa na za maisha. Usichukulie kila kinachowekwa humu ni kweli kimetokea, labda kama hujui maana ya utani.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Sep 27, 2012 Thread starter #22 Rubi said: Katavi avatar yako huwa inanikosha. Click to expand... Mbona ya kawaida Rubi...? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Aza JF-Expert Member Joined Feb 23, 2010 Posts 1,700 Reaction score 233 Sep 27, 2012 #23 Katavi said: Mbona ya kawaida Rubi...? Click to expand... lazima atakua mwanamke,wanawake wanapenda vitu vya ajabu adi unashangaa:A S angel:
Katavi said: Mbona ya kawaida Rubi...? Click to expand... lazima atakua mwanamke,wanawake wanapenda vitu vya ajabu adi unashangaa:A S angel:
JosephElly JF-Expert Member Joined Jun 5, 2012 Posts 2,432 Reaction score 1,035 Sep 27, 2012 #24 Dah... Lazma upate kibuti hapo
Rubi JF-Expert Member Joined Oct 5, 2009 Posts 1,615 Reaction score 332 Sep 28, 2012 #25 Katavi said: Mbona ya kawaida Rubi...? Click to expand... ya kawaida but the way hicho kibabu mtoto kilivyotabasamu mie hoi.
Katavi said: Mbona ya kawaida Rubi...? Click to expand... ya kawaida but the way hicho kibabu mtoto kilivyotabasamu mie hoi.
Rubi JF-Expert Member Joined Oct 5, 2009 Posts 1,615 Reaction score 332 Sep 28, 2012 #26 Aza said: lazima atakua mwanamke,wanawake wanapenda vitu vya ajabu adi unashangaa:A S angel: Click to expand... Du! inawezekana ngoja nifanye utafiti.
Aza said: lazima atakua mwanamke,wanawake wanapenda vitu vya ajabu adi unashangaa:A S angel: Click to expand... Du! inawezekana ngoja nifanye utafiti.
F filonos JF-Expert Member Joined Oct 13, 2011 Posts 646 Reaction score 137 Sep 28, 2012 #27 Donn said: Dah... Lazma upate kibuti hapo Click to expand... nakama ni asubui atapewa chai MAKOFI